ASYIA's KITCHEN PARTY!!

BRIDE                       ::ASYIA MWALIKO
EVENT                      :: KITCHEN PARTY
VENUE                      ::DOLPHINE HALL SINZA
COLOR                     ::LIGHT BLUE & BROWN
MC                             ::JAMILA KITMTIM
 YAP NI KITCHEN PARTY YA ASYIA ILIYOFANYWA NA DADA YAKE SOPHY, MAMBO YOTE HAYA NI HAPO SINZA DOLPHINE ZAMA NDANI UJIONEE HAPATOSHI GROUP WATOTO WA KARIAKOO WALIMKOSHA SOPHY

 
 SOMO NA MWARI

 DECOR......///
ZAWADI
MC
JAMILA KITIMTIM
CAKE
WANAKAMATI WAKIPATA KEKI
KUKABIDHI ZAWADI
 ALIANZA MAMA KUMPA ZAWADI BINTI YAKE
 DADA AKIENDA MKABIDHI MDOGO WAKE ZAWADI
DADA AKIKABIDHI JIKO LA GAS
 WIFI AKIKABIDHI FRIDGE MPYA
 SOMO NA PAMBE YAKE WATOTO WA KARIAKOO UMEWAONA???
 SOMO AKIKABIDHI KABATI LA VYOMBO
PAMBE YA SOMO IKITAMBA
MC JAMILA AKIMKOSHA SOMO
 MAMA MACHA AKIENDA TOA ZAWADI
MAMA MACHA AMBAYE NI MWENYEKITI WA KAMATI ALIKABIDHI ZAWADI YAKE KWANZA, DRESSING TABLE
 WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI
ASYIA AKIINGIA NA NGUO YA PILI
HAPANA CHEZEYA SOMO
SOMO NA MWARI
 DADA YAKE ASYIA AKIKOSHWA KWA KUANDAA SHUGHULI PAMBE KWA MDOGO WAKE
 
 SOPHY NA ASYIA WAKIMFUNGA MKAJA MAMA
KISHA AKAMKOSHA DADA YAKE
 WANAKAMATI WAKIONGOZWA NA MAMA MACHA WALIANZA KUMTUNZA BI ARUSI ASYIA NA KUMKABIDHI ZAWADI ZAKE
 WALIANZA KUKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI 
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI KABATI LA NGUO
HAPATOSHI GROUP WAKIMTUNZA DADA YAKE BI ARUSI SOPHY
 ASYIA AKIGAWA ZAWADI 
CHAKULA
NYUSO
 
SALMA MAHSEN
 SOPHY NA MAMA MZAZI
 
 SALMA & FRIEND
ALHANISA & MC JAMILA KITMTIM
BIG BEN PRODUCTION
RED CARPET
 
ASYIA MACHENI AKITAMBA....
SWAGA


Post a Comment

0 Comments