HAMED & CHRISTINA PHOTO-SHOT ENGAGEMENT

 ILIKUWA NI BIRTHDAYA YAKE BIBIE CHRISTINA. YEYE ALIPLAN KWENDA KUPIGA PICHA ZA MALAVIDAVI NA MPENZI WAKE HAMED, HUKU HAMED AKIPLAN KUMSPRISE NA ENGAGEMENT RING....!!!

 HAMED AKIPIGA GOTI
 CHOZI HILO

Post a Comment

8 Comments

 1. nice one kwakweli

  ReplyDelete
 2. nice one, ila bibi Harusi need the gym for her big day, and consider to use bio oil too for them hands

  ReplyDelete
 3. mmependeza sana

  ReplyDelete
 4. They look lovely,happy n success in their luv.i like them.kupendwa raha jamani,usikie hivyo hivyo.they remind me ma x boyfriend.but dini zilikuwa tofauti.now i married but am not happy with my marriage.by amina

  ReplyDelete
 5. They look lovely but mdada Gym ihusike unaonekana mkubwa coz ya mwili...dah pole sana Amina I wish ningekuona tuongee.Najma

  ReplyDelete
 6. Pipo u shud giv em a break... Sio watu wote wanaopenda watu wembamba... Huyu mwanaume sio kipofu amemuona kama ni mnene na anampenda hivyo hivyo.. Eti gym inamuhusu! love isnt about beautiful or ugly ...its abt the feeling caring n loving

  ReplyDelete