KHAMIS BAG PARTY!!!

GROOM                    :: KHAMIS HASSAN YAHYA
BRIDE                       :: SHENUU AHMAD
EVENT                      :: BAG PARTY
CAKE                        :: MAMA GAO
DECOR                     :: MAMA GAO
VENUE                      :: NADDS HALL
COLOR                     ROYAL BLUE & YELLOW
CATERER                :: MARIAM TWAHIR
MC                             ::JAMILA KITMTIM
NI BAG PARTY YA KHAMIS MTOTO WA KWANZA WA TATU LUMELEZI, JUMAMOSI HAPO NADDS PALIKUWA HAPATOSHI..!!! , MAMBO SI MCHEZO CHAKULA CHA UKWEE'E TOKA KWA MARIAM TWAHIR, UKIJA VINYWAJI KILA MEZA NA BOX LAO LA WINE, HUKU USTAADHI NA RAHA ORIGINAL WAKITUPA LADHA ZA PWANI, RANGI YA SHUGHULI YATAWALA...!!! NISIMALIZE YOTE...!!!


SWAGGA ZA KHAMIS
MC
MAMA MZAZI AKIINGIA
MAMA MZAZI TATU LUMELEZI AKIINGIZWA NA DADA YAKE BI. LILLY
KHAMIS AKIINGIA
KHAMIS ALISINDIKIZWA NA WADOGO ZAKE
BI ARUSI ALIALIKWA.....!!!
KHAMIS AKAENDA MPOKEA MKEWE
DECOR.....///
ZAWADI
 KHAMIS AKITOA INTRODUCTION YA WAZAZI WAKE
TATU LUMELEZI NA HASSAN YAHYA
 
 TATU AKIMFICHUA KIJANA WAKE...!!!
KHAMIS AKITOA KITOKA UNYUMBA KWA MABIBI
CAKE
CHAMPAGNE.....
BURUDANI
KHAMIS NA SHENUU WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO NA FAMILIA YA BI. TATU LUMELEZI..
 ALIANZA BI TABIA MAMA MZAZI WA TATU LUMELEZI KUMKABIDHI BWANA ZAWADI YA DINNING TABLE
 MAMA MZAZI WA KHAMIS TATU AKIENDA KUWAPA ZAWADI WANAE


 TATU ALIKABIDHI WATER DISPENSER, FRIDGE & GAS COOKER
BI LILLY FROM UK DADA YAKE TATU NA NDUGU YAKE DIANA WALIKABIDHI KITANDA SITA KWA SITA
 MAMA MDOGO AKIKABIDHI KABATI LA UKWEE'E
 KISHA AKASASAMBUA
 UMEONA KHAMIS HIVI VYAKO EEH!!

 AKAENDELEA KUKATOA VYA MKE 
 UMETISHA  ODO
 KHAMIS NA SHENUU WAKIKABIDHIWA DRESSING TABLE
 WAKIKABIDHIWA SHOE RACK NA VIATU FULL
 MWAGUMBO AKIKABIDHI SABUFA NA MEZA YAKE
 AMINA MENGI AKIKABIDHI COFFE TABLE
 MAMA TANT AKIKABIDHI MEZA YA PASI NA PASI


MAMA TANT AKIMFUTA JASHO TATY
MARIAM BEST AKIKABIDHI ZAWADI
 TANT BOY AKIKABIDHI KABATI LA VYOMBO
 MADADA WAKIKABIDHI SHISHA NA CARPET
DIANA AKIMTUNZA NDUGU YAKE POUND
 SUBIRA GROUP WAKIONGOZWA NA MAMA TAMBA MUKE YA DR..., KWENDA KUWATUNZA MAARUSI AMBAYE BIBIE LUMELEZI NI MWANACHAMA
 MARIAM BEST AKIMKOSHA TATU KWA MILLION MOJA SI MCHEZO..!!!
FATUMA NDUNYU AKIMFUTA JASHO SOMO YAKE

CHAKULA  NYUSO
BIBI LILLY & MR WAGE
MARIAM, JOHA & SHARIFA KAVU
MWANAISHA
FASHINISTA FADYA ISAC & WIFIE HABIBA
SHERRY KAVU & MNTAMBOS
TANT NA MAMA TANT & FRIEND
HAPANA CHEZEYA SALMA MNTAMBO INJINI YA JIJI NIMEKUSIKIA KWENYE LADY WITH CONFEDENCE YA KHADIJA KOPA..!!!
AMINA MENGI & MWAGUMBO UBAYA
BAHIYA LUMELEZI & MARIAM MKWECHE
MAMA NA MWANA WAMEPANDAJE JUU
MWANABIBI
MAMA TANT & FRIEND
SITTU MWASU & FRIEND
TANT BOY & FRIEND
MSHINDO
SISTERZ!!!
DIANA LUMELEZI & MWANABIBI WAGE
JAMILA MMYIKA & FRIEND
MR & MRS WAGE
RED CARPET
#TEAMTANDAMTI#

SWAGGAPost a Comment

0 Comments