LULU's WEDDING LUNCH!!!!!!!!!!

BRIDE                            :: LULU (ZENA)
EVENT                            :: LUNCH
VENUE                            :: MSASANI BEACH CLUB
COLOR                           :: PINK, PURPLE & YELLOW
MC                                  :: ADELLA
THEME                           :: NAIJA SWAGGA
INVITATION CARD     :: SILMAL INVESTMENT
 YES NI LUNCH YA LULU, ILIYOANDALIWA NA WAZAZI WA LULU ROZELLA FASHION & NDUGU YAKE STELLA MBAGA, ANAITWA LULU TABIA ZIMEENDA NA JINA LAKE, BINTI MWENYE HESHIMA ZOTE, SWAGA ZILIKUWA NAIJA TU..., SHUGHULI IMEKWENDA SHULE TENA CHUO KIKUUU HAPANA CHEZEYA WA MUJINI...!!

LULU AKIINGIA UKUMBINI
WAZAZI WAKIINGIA UKUMBINI
ROZELLA NA MAMA MZAZI WAKIINGIA 
WANAUME WAKIINGIA
HII ILIKUWA LUNCH ILIYOANDALIWA NA KINA MAMA, LAKINI WANAUME KATIKA FAMILIA WALIALIKWA..!!!
MC ADELLA, NAMBARI ONE SAUTI ISIYOUMIZA MASIKIO
 PASTOR TOKA RICHMOND CHURCH AKITUPA BARAKA...!!!
INTRO.....///
 MAMA MKUBWA AKITUPA INTRO YA WAZAZI WA LULU
BABA MLEZI MR. MSHANA...!!!
 
MAMA MLEZI ROZELLA FASHION
 MAMA MZAZI STELLA AKIONGEA
MAMA MLEZI ROZELLA AKITUPA INTRO... MMEMUONA MCHUMBA...!!
 
 HAWA NI MADADA WAZAZI WA LULU WAKIMFUNIKA MWANAO
 WALIANZA KUMVISHA MADINI!!!
 KISHA WAKAMFUNIKA KWA VITENGE...!!!
 BIG HUG FROM MAMA...!!!
MABIBI NAO WAKAONGEA NA MJUKUU
 
 BIBI YUKO JUUU MADINI
 MABIBI TOKA UPARENI WAKISASAMBUA KAPU LAO...!!!
DECOR.....///
 KADI YENYE SWAGA ZA KITENGE TOKA SILMAL KWA KADI ZA UKWEE'E, SHUGHULI PAMBE LAZIMA KADI YA MWALIKO ITOKE KWAO
 CHAMPAGNE
 BURUDANI
BINTI MREMBO ALITUPA BURUDANI YA KIROHO..!!!
 MALKIA WA TAARABU KHADIJA KOPA AKITUPA BURUDANI...
 KHADIJA KOPA AKITUNZWA MSIMBAZI KWA KWNDA MBELE
CHAKULA
LULU AKIWA NA MCHUMBA WAKE....
NYUSO
ROZELLA FASHIONA AKIWA NA DADA YAKE STELLA
BWANA ARUSI MTARAJIWA
KHADIJA KOPA
PENDEZA EEH!!!
SALMA KIBENE & MARIAM
KHADIJA ROZELLA
DADAZ FOREVER
ADELINE & ASHURA KAWAWA
ROSE & STELLA, SISTERZ!!!
SISTERZ WITH LOVE PENDEZA!!!
MAMA NA WANA, HAJAT JOHA SIMBA
MIRIAM AZIZ, ROZELLA & STELLA
RED CARPET
DESIGN BY ROZELLA FASHION
DESIGN BY ROZELLA FASHION
HAJAT JOHA SIMBA DESIGNER
MARIAM DESIGN BY KIKI's FASHION
DESIGN BY KIKI's FASHION
DESIGN BY ROZELLA FASHION

DESIGNER ROZELLA YA NGUO HIZI
KWA KARIBU ZAIDIIIII

SWAGGA

Post a Comment

1 Comments

  1. aisee sijui nianzie wapi niishie wapi kutoa comments, yaani shughuli imependeza sana sana, na waalikwa wameitendea haki, kuanzia wabibi kutoka upareni mpaka waschana wadogo wadogo, yaani kila kitu kiko sawa kabisa, nimempenda sana dada mwenye dimples aliyebeba pochi ya bluu kubwa, nimempenda dada natural mwenye smile nzuri na shining face, aisee nimewapenda sana mama zake bibi harusi yaani they are aging gracefully including wazazi wao, nimewapenda sana waalikwa kwakweli wamepaka makeup nzuri, show nzuri, uwepo wa Mungu ulikuwepo, labda nimeona tu bi harusi angekaa na matron ambaye ni size yake kidogo, maana nilidhani bi harusi ni mdogo wake, ila nguo zao zimewapendeza sana, watu wazuri mno jamani duh

    ReplyDelete