MAULID YA MTUME MUHAMAD (S.W.A) MADRASSATUL ABBASIYA 2014!!

NIMEKUWA MUUDHURIAJI WA MAULID YA MADRASSATUL ABBASIYA TOKA MWAKA 2011 NA KILA MWAKA MAULID YANAONGEZEKA NA MWAKA HUU YALIFANA SANA, HIZI NI BAADHI YA PICHA UPANDE WA WANAWAKEPost a Comment

4 Comments

 1. Mashaallah mmependeza, basi tujitahid waislam tuendapo maulidin tusikilize mawaidha na mambo yote yanayoendelea pale sio ndo kuchart muda wote utakuwa huna faida yoyote uloipata zaid ya kuwa umeenda pale kama ibilis tu.

  ReplyDelete
 2. Mashaallah, Naomba tusijirembe sana kwakweli na pia tujistiri vizuri na tusikilize mawaidha na sio kuchat kwani hizi simu zitatupeleka motoni.

  ReplyDelete
 3. Hsijahusu maulid kukaa kwenye viti jmn aah

  ReplyDelete
 4. Kujiremba kulikopitiliza ndiyo mtihani zaidi kama mko kwenye marusha roho mapambo yetu wanawake wanastahili waume zetu na si kila mtu

  ReplyDelete