ONJA:: MSAFIRI & JUDITH WEDDING RECEPTION @ QUALITY CENTRE!!!

 ONJA WEDDING RECEPTION YA MSAFIRI NA JUDITHI NAYOENDELEA HIVI SASA KATIKA UKUMBI WA BNN QUALITY CENTER PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA MASHUGHULI DIGITAL PRODUCTION
 MC CHIPOLOPOLO & MSAFARI
KWA MAHITAJI YAKO YA PICHA KAMA HIZI KWENYE SHUGHULI YAKO PLEASE CALL +255  655 426 100
 MARIAM DADA YAKE BWANA ARUSI
 MARIAM & FRIENDS
 MR. & MRS MATAGI
 HADIJA & HAFIDH
MARIAM & MASOUD, I LOVE THIS COUPLE!!!


Post a Comment

7 Comments

 1. tuwekee kideo plseee....

  ReplyDelete
 2. Wat a simple wedding. .hmmuah

  ReplyDelete
 3. Bwana harusi mzurije. ..kamfunika hadi mke we. .lol..I'm kidding

  ReplyDelete
 4. Acha ujinga ww. Inakuwaje usifie waume za watu? Hata bi Harusi mzuri na ndo maana kamchagua. Mapenzi wewe....Utajibeba.

  ReplyDelete
 5. jmni mbna watu mnapenda kukosoa ndo chaguo lake

  ReplyDelete
 6. mmependeza saaana nawatakia maisha mema mapya

  ReplyDelete
 7. mbona picha umeweka chache!!!!!

  ReplyDelete