SAKINA & KHALID LUNCH!!!

BRIDE                       :: SAKINA
GROOM                    :: KHALID
EVENT                      :: WEDDING LUNCH
MAKEUP                  :: GLAMBOX
CAKE                         :: MONICA MAKUNDI
VENUE                      :: BELMONTE HOTEL, JUBILEE TOWER
COLOR                     :: PINK, BLUE & CREAM
CATERER                :: MARIAM TWAHIR 
NI LUNCH YA SAKINA NA KHALID BAADA YA NDOA YAO, NI YULE BI ARUSI WANGU MWENYE SMILE...!!! MAARUSI PENDEZA SANA, MAKEUP YAKE IMETULIA, TUKIPEWA RAHA KHADIJA KOPA NA RAHA ORIGINAL LIVE, CHAKULA KITAMU BY MAMA YA MADIKODIKOMARIAM TWAHIR ZAMA NDANI UJIONEE

 MAARUSI WAKIINGIA
 MAARUSI WAKIINGIA TARATIBU
MC
NI ANGELA BONDO MAMA YA CHEREKOCHEREKO
DECOR.....///
CAKE
KHALID & SAKINA WAKIKATA CAKE
WAKIENDA KUWALISHA WAZAZI
BURUDANI
 RAHA ORIGINAL LIVE BAND MAMBO YA USTAADH TISHAAA...!!!
 KHADIJA KOPA LIVE AKIFANYA MANJONJO YAKE
HONGERA & ZAWADI
CHAKULA
MARIAM TWAHIR NAKUAMINIA....!!!
NYUSO
SHARIFFA KAVU, ASHURA, FATMA, SHARIFFA & MOODY MADENGE
MAARUSI NA MAMA SAKINA
MAARUSI, ODILIA & FRIEND
SALMA & MARIAM
MAARUSI NA MDOGO WAKE SAKINA NURDIN
BABA MZAZI WA SAKINA
MAMA MLEZI FATUMA KIMARIO
MZAA CHEMA
MAMA MZAZI WA SAKINA & MDOGO WAKE
SHARIFFA NA MUME WAKE MOODY MADENGE
MZEE CHILO
MZEE CHILO
COUPLE!!!
BABA MZAZI WA SAKINA & FRIEND
NURDIN & FRIEND
BLUE CARPET

Post a Comment

7 Comments

 1. Simple and Classic wedding nimeipenda

  ReplyDelete
 2. bibi harusi ni very very photogenic and she likes to smile, bwana harusi naye hivyo hivyo, na wakadumu hivyo hivyo they just look so happy together,

  ReplyDelete
 3. Bi harusi mzuri sana.ana rangi nzuri sana.wamependeza sana

  ReplyDelete
 4. Safi sana tall hongera sana bro

  ReplyDelete
 5. Sakina usiaachee make up uwe unajipamba hivyo hivyo. Mariam jongo pambe huvumi lakini umoooo.

  ReplyDelete
 6. mashallah na ikawe ndoa ya furaha siku zote inshallah

  ReplyDelete