TAMASHA LA NYAMA CHOMA!!

 Tamasha la Nyama Choma lililofanyika juzi
katika viwanja vya Posta Kijitonyama lilihudhuriwa na maelfu ya watu waliokuwa na familia zao pamoja na marafiki.
Kulikuwa na kila aina ya burudani kuanzia za watoto na watu wazima huku msanii kutoka Kenya Victoria Kimani akilinogesga tamasha hilo......!!!!


MBEGE KWA AFYA
 SUPER MODEL VICTORIA AWA MJASIRIAMALI !!
 KUONA PICHA ZAIDI INGIA HABARI5 BLOG

Post a Comment

0 Comments