WOMEN OF HOPE ALIVE!!!

 HAWA NI BAADHI YA WANACHAMA WA WOMEN OF HOPE ALIVE NI KIKUNDI CHA WASICHANA AMBAO HUKUTANA MARA MOJA KILA MWEZI, NA KUBADILISHANA MAWAZO, NA HII WALIKUTANA NA WATOTO WAO KULA PAMOJA CHAKULA CHA MCHANA PIA WATOTO WALICHEZA MICHEZO MBALIMBALI NA KUPEWA ZAWADI, KIUKWELI NIMEWAPENDA SANA, GROUP HII ILIANZISHWA MWAKA 2003 HONGERENI SANA....!!!

ESCAPE1
CHAIRLADY  WOMEN OF HOPE ALIVE
ILAKIZA FREDRICK M-KITI WA WOMEN OF HOPE ALIVE ALIANZA KWA KUWAKARIBISHA WANACHAMA NA INTRODUCTION KWA KILA MWANACHA
BIRTHDAY
MWANACHAMA MMOJA ALISHEREKEA BRTHDAY
CHAMPAGNE
MWENYEKITI AKIFUNGUA CHAMPAGNE
AKAWALISHA KEKI WATOTO
WAKALISHANA NA BINTI YAKE

ILIKUWA NI BIRTHDAY YA SHEBEER & SHIHAAD
PACHA WAKIKATA KEKI

SHARIFFA MAMA WA SHEBEER & SHIHAAD AKIWALISHA KEKI
DADA AKILISHWA KEKI
SECRETO GAME
WATOTO WALIKUWA NA MCHEZO WA KUBADILISHANA ZAWADI

FUN GAME
KINA MAMA NAO WALICHEZA MICHEZO MBALIMBALI KUONDOA STRESS
 WATOTO WALIPATA MUDA WAKUCHEZA NA KUOGELEA
CHAKULA
 
NYUSO
RED CARPET
 SWIMMING TIME
RED CARPET YA WAKUBWA
CLOSER LOOK
KINAMAMA PICHA NA WANAO


SWAGGA

Post a Comment

14 Comments

 1. WAOOOO BIGGEST DAY.. HAPPY US WIT KIDS...

  ReplyDelete
 2. wadada wanaonekana hawataki tabuuu

  ReplyDelete
 3. nice jaman wamama wanaojiamini hao

  ReplyDelete
 4. Shida tupa kuleeeeeee, maisha yaliwe tu

  ReplyDelete
 5. wadada wanaojielewa hawa

  ReplyDelete
 6. mwee udumu urafiki wenu, inafurahisha sana muendelee kupendana na kutiana moyo kama hivyo muongee mambo ya kuendeleza watoto wenu na ujenzi wa nyumba biashara kusoma kwa saana muongeze madegree na mapromotion kazini, sio tena mkikutana ni kusengenya waume zenu msipoteze muda huo kinadada songeni mbele mnaonekana mnajiamini na kujitambua kisawasawa mmenifurahisha sana acheni tu nitiririke kuwasifia ni mfano wa kuigwa. ninalo kundi na marafiki zangu tuko nane tulianza wasichana bado hatujaolewa mpaka sasa tuna watoto wako secondary,mjihadhari na wagombanishi hapa wameona mnapendana atatokea mmoja aanze kuwaletea ya uchonganishi mumkemee ashindwe na kulegea mlilinde kundi lenu mwaya mmependeza na watoto wenu mwaa mwaa mwaa god luck wapendwa

  ReplyDelete
 7. wadada wa kileo full kujiachia raha jipeni wenyewe babu akuu

  ReplyDelete
 8. Hapo ni wapi? tutoeni matongo tongo wenzenu mhh bongo tambarare

  ReplyDelete
 9. Nimelipenda ilo group. Nami nataka kujoin prs zikoje? Kama wana website or blog ambayo naweza ikingia huko nikasoma sheria zao na kuweza kujiunga nao kua mwanachama nitashukuru.

  Mrs. JJK

  ReplyDelete
 10. wha 4 ever no matter ups en down together we can....me proud ma self

  ReplyDelete
 11. Hongereni wanawake wenzangu safi sana

  ReplyDelete
 12. Haswaaa tunajitambua meen us with our lovely kidoz,Allah bless us all

  ReplyDelete
 13. Nimewapanda sana jamani naomba kujiunga nitashukuru sana Mungu awabariki.

  ReplyDelete
 14. Jamani ningependa kujiunga na kikundi chenu nitashukuru sana kama ombi langu litakubaliwa.Mungu akubariki muendelee kuwa hivyo. my email e_shayo@yahoo.com

  ReplyDelete