HABIBA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                        ::HABIBA BOWA
EVENT                       ::KITCHEN PARTY
VENUE                       ::KING PALACE HOTEL
MAKEUP                    ::GLAMBOX
COLOR                      ::PINK, BLUE & GOLD
MC                              ::DIDA
YES!!!! KITCHEN PARTY YA HABIBA, PENDEZA KWA SANA, SARE YAFUNIKA, HABIBA KAPATAJE ZAWADI NYUMBA IMEKAMILIKA HONGERA..!!!

HABIBA AKIINGIA UKUMBINI
MC
MC DIDA AKILIVURUMISHA...!!!
DECOR.....////
 ZAWADI
NYUMBA IMEKAMILIKA KILA KONA
CAKE
 KEKI YA HABIBA, MKOBA NA VIPODOZI
 MAMA NA MWANA WAKILISHANA KEKI
 CHAMPAGNE 
BURUDANI
 MDUARA HUOO
 KWAITO....!!!
HABIBA AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE
MAMA MZAZI WA HABIBA AKIMPA ZAWADI BINTI YAKE
ALIANZA KUMKABIDHI KITANDA
AKAMKABIDHI KABATI LA NGUO
UMEONA EEH KABATI LIMEJAA, HAKUNA KAMA MAMA
MAMA AKIMKABIDHI SHOE RACK NA VIATU
MAMA NA MWANA
HAPANA CHEZEYA WAKISASAMBUA SANDUKU
WAFANYAKAZI WAKIKABIDHA HUNDI....
MAMA AKIFUTWA JASHO
HABIBA AKIMTUNZA MAMA YAKE!!!
KISHA AKAMKABIDHI FRIDGE
WANAKAMATI WAKIMKABIDHI HABIBA
CHAKULA
NYUSO
HABIBA, BIJOUX & FRIEND
MAMA MZAA CHEMA

Post a Comment

3 Comments

  1. Hongera habiba ulipendeza mno,mungu akutangulie katika ndoa yako

    ReplyDelete
  2. Watu msiovaa sare mnaharibugi sherehe za watu tustaarabike , Mabendera ya USA Inahu ! Bibi harusi kila la kher siku ya Ndoa utabasamu kidogo basi

    ReplyDelete
  3. Hivi hii shughuli sare ni ipi jamani. Bi harusi umependeza

    ReplyDelete