HAKIKA & MAULID YA BABY QARIMA QARAMA HUSSEYN!!!!

YES, NI BAADA YA AROBAINI YZ UZAZI MTOTO ANAFNYIWA HAKIKA, BAADA YA HAKIKA YAKAFUATA  MAULID KISHA BABY KARIMA AKATOLEWA NJE...!!!!

 BABA NA MAMA QARIMA
DAD's DAUGHTER...!!!!
MAMA MZAA CHEMA

ZIKIRI....ILIKESHA USIKU KUCHA, HAPANA CHEZEYA
MAULID YAKISOMWA
 QIYAM, QARIMA AKITOLEWA NJE
 QARIMA AKITUNZWA NA MAMA YAKE!!!
 BABA MZAZI WA QARIMA AKIMTUNZA MTOTO WAKE
 NI WEKUNDU WA MSIMBAZI
 BARKA IKITAYARISHWA
 NYUSO
 QARAMA NA DADA YAKE
 BABA NA MAMA QARIMA
 MRS. QARAMA
 SHANGAZI YAKE QARIMA
HASSAN, QARAMA & SHABANI
 BABA QARIMA
 ANKAL HASSAN & BABY QARIMA
 QARAMA NA BIG BOY WAKE

Post a Comment

10 Comments

 1. Mbona sioni nyama ya mbuzi na supu? naona maandazi na chapati tu. Maana nasikia Hakika lazima kuwe na mbuzi na asali. Nijuzeni mnaojua.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hata mie ndo navyojua sasa nachangaaa hakika hii

   Delete
 2. Mashaalah Mola ampe uri na afya yaani nikiangalia sherehe za kidini naona raha . Mola awape ndoa yenye faraja Qarama mpaka sijida .Mola tia NURU,BARAKA,RIZIKI,MAPENZI, nyumba yao na kheri zaid za walizo nazo

  ReplyDelete
 3. MashaaAllah... Mmependeza sn Ma/mungu awakuzie na awaongoze ktk malez yenye mamadil

  ReplyDelete
 4. Ni kweli nyama haionekani labda hiyo itakuwa maulid tu sio hakika mana hawajakamilisha hakika hapo. Haki ya mtoto wa kike achinjiwe mnyama kama ni mbuzi mmoja na wakiume mbuzi wawili, asali na vitu vya kutowea, si lazima supu hapo waatakuwa wamemfanyia hakika. all in all mwenyez mungu awakuzie mtt wenu awe mtto mwenye kufata maadili ya dini inshaallah.

  ReplyDelete
 5. Hata mie sijaona mbuzi..hakika lazima mbuzi achinjwe tena huyo mtoto wa kike mbuzi mmoja..labda mngesema maulid tu na si hakika hiyo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Havikupangwa tu hapo lakin mbuzi wawili walichinjwa na asali pia ilikuepo thats why it written hakika na sio maulidi

   Delete