HAKIKA YA BABY IYMAN!!!

HAKIKA YA BABY IYMAN, MTOTO YA PILI YA KHADIJA & MUME WAKE, MIE NILISHUHUDIA NDOA YAO, MASHALLAH NAOMBEA DUA MPENDANE ZAIDI, TULIANZA NA HAKIKA KISHA MAULID .....!!!!

BABY IYMAN NA MKUU WAKE AMNEY
 MASHALAAH!! FAMILIA INAONGEZEKA, KHADIJA NA MUMEWE NA WATOTO WAO
KHADIJA & HUBBY
KHADIJA & DOLLA 
 KHADIJA & AMNEY
REHEMA & KHADIJA

 KHADIJA NA MKWEWE MAMA MBUYU
SALHA & HUBBY
 KHADIJA & HUBBY
MKUU NA SHEMEJI
ODO HALIMA AKIFANYA MAMBO YA SUPU....!!!
PICHA ZA MAULID ZINAKUJA........

Post a Comment

2 Comments

  1. HONGERA SANA KHADIJA KWA KUPATA BABY MWENGINE MWENYEZI MUNGU AKUKUZI WANAO

    ReplyDelete
  2. Mimi nakumbuka harusi ya huyu dada ilikuwa nzuri sana mungu amkuzie wanae

    ReplyDelete