POSH THE SALOON!!!!

HAYA HAYA WADAU KIJUWE KIPYA CHA MAMBO YA UREMBO, POSH THE SALOON, HII SALOON NI KWA AJILI YA WANAWAKE TU, IKO KATIKATI YA JIJI IMESHEHENI VIFAA VYA KUTOSHA NA PRODUCT ZAO NI ORIGINAL IKO KATIKATI YA JIJI IKIONGOZWA NA MDADA ALIYESOMEA MAMBO MENGI YA SALOON NJE YA NCHI, HAKUNA UBISHI UKIFIKA SALOONA UTAKUTANA NA VYETI KIBAO, HAKUNA KUARIBIWA HAPA MAMBO NI YA KISOMI TU, FULL AIR CONDITION, ZAMA NDANI KUIONA ZAIDI
WANAPATIKANA:: KARIAKOO MITAA YA FIRE KARIBU NA HOSPITAL YA DR. HAMEER
MAWASILIANO:: +255 784, 449 232/715 449 232
ANGALIZO:: SALOON HII NI YA WANAWAKE TU/LADIES ONLY!!!
HUDUMA WANAZOTA:-
WAXING
PEDICURE & MANICURE
BODY SCRUB
BODY MASSAGE
BLEACHING
COLOR
TINT
THREADING
FACIAL
HAIR STYLING
MAKEUP
PIA KUNA BRIDAL PACKAGE
 MUONEKANO WA SALOON
 PRODUCTS ZA AINA MBALIMBALI NA NZURI 
WAXING ROOM
 WANA ROOM SPECIAL KWA AJILI YA WAXING
 WALE WAONDOAJI WA VINYWELEO HAPA NDIPO MAHALA PAKE

 WALE WAONDOAJI NYUSI KWA UZI UNAPATA HUDUMA HIYO
 MASSAGE ROOM
 HAPA NDIPO PALE UNAONDOA UCHOVU WAKO, UTAFANYIWA MASSAGE KITAALUM ZAIDI...!!!
 MAKEUP ROOM
 KWA WALE MAARUSI POSH THE SALOON WANAFANYA BRIDAL MAKEUP KWA BEI POA, PIA WANAPACKAGE KWA AJILI YA BI ARUSI, PRODUCT ZA UKWEE'E
UTAPOKEWA NA  WAFANYAKAZI WACHANGAMFU WENYE KAULI NZURI...!!!
VYETI HIVYO KAZI KWENU

Post a Comment

5 Comments

 1. WAMETISHA, NAMBA ZAO ZA SIMU PLS

  ReplyDelete
 2. Nice mashaallah, actually my favourite salon,excellent service

  ReplyDelete
 3. hakunaga km hyoooooooooo

  ReplyDelete
 4. Mashallah Saloon imetulia, huduma zao nzuri, wacheshi saana... its my favourite saloon...

  ReplyDelete
 5. wanafunga vile vilemba vya kuchanganya

  ReplyDelete