SINGO YA ZUHURA!!!!!!!

 NI SINGO YA MWARI AKE KHADIJA MNYIKA, KWA KAWAIDA SINGO ANAIFANYA SOMO BAADA YA KUMCHUKUA MWARI WAKE NA KUKAA NAYE KA SIKU KADHAA NA KUMFUNDA UMTOA NJE ILI WAALIKWA WAMUONE...!!! HII NDIO MAANA YA SINGO, KHADIJA MWARI KAKWIVAJE...!!!

MWARI AKITOLEWA NJE BAADA YA SINGO NA SOMO YAKE.....///
 VITU VYA SINGO
MC DALILAH JAGGAR
MAMA YA SARKAS...!!!, PI ANAFUNDA....!!! JAMANI WALE WANAOTAKA MFUNDAJI NAMBA YAKE HII  +255 713 265 137 ANAPATIKANA WHATSUP
DECOR...///
MWARI AKIFICHULIWA....!!!
KHADIJA AKIMFUNUA MWARI WAKE
SOMO AKITUONYESHA MWARI KAKWIVA
 MWARI KAIVAJE....!!!!
BURUDANI
 KIBAO KATA....!!!
ALHANISA KIDOLE NA MACHO
MATUNZANO
SOMO KHADIJA MNYIKA AKIKOSHWA..!!!
 WALIANZA FRIENDS OF JANGWANI KUTUNZA
 TANT BOY NA KAMPANI YAKE WAKIMKOSHA KHADIJA
FATMA MSOMALI
JAMILA KITMTIM
AMINA MENGI
TATU LUMELEZI
TANT BOY SUPER STAR AKITUNZA
 NATASHA AKIMKOSHA SHOSTITO WAKE
 FRIENDS JANGWANI WAKITUNZA
 FRIENDS OF JANGWANI GROUP MKO JUUU
 FATMA AFUA AKITUNZWA
NYUSO
SOMO NA MWARI
 BI AFUA & ISHA MASHAUZI
 DESIGNER BAHIYA LUMELEZI & SHUM LUV
 JASMINE AFUA & FRIENDS OF JANGWANI
 ZAKIA MABOBISHI PENDEZA EEH
 MWAGUMBO UBAYA & FRIEND
SALMA MAHANSEN & ALHANISA WA ZAYUN
 QUEEN OF TAARAB, BI AFUA
 ZAKIA, ASHA & FRIEND , JANGANI CREW
TANT BOY & SITTU MWASI SHOSTITO WA UKWEE'E
MWANAISHA MASANGA & FRIEND
AMINA MNANZIN & SHAIFFA HASHIM
ALHANISA PAMBE TU
BIBIE & MDOGO WAKE
SITTU MWASU & SHOSTITO
JASMINE AFUA
ASHA TOM
 FRIENDS OF JANGWANI NA SARE PAMBE TU..!!!
BIBIE LUMELEZI & FRIEND
 BI AFUA, ISHA MASHAUZI & FRIEND
 TABU MABOBISHA MAMA WA YANGA & FARIDA TOM
AMINA MENGI & TATU LUMELEZI
MC JAMILA KITIMTIM, MAMA WA KUSHEREHESHA...!!!!
TANISA MWAIBULA, ZUHURA NYAUCHI & FRIENDS
NI FUJO ZA WATOTO WA KARIAKOO
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

 1. pendezaaaaaaa watoto wa kariakoo na jangwani

  ReplyDelete
 2. singo ilikuwa babkubwa hiyooo naaamini shughuli babkubwa zinakuja tutayaharishe macho tu.
  ushauri kama unafaa kwa mtazamo wangu biharusi huyo ni mrembo sana tena anapambika ila wampunguzie rangi machoni pamoja na wanja kama hapo wangekuweka pearl gold ikawa kwa mbaliii na kuacha hiyo nyekundu.
  dada wewe ni mzurii ujizame kwa kioo wakikuzisha waambie.

  ReplyDelete
 3. Singo si kumuonyesha mwari, uliza ufahamishwe. Singo ni kusingwa mwari kutoa matakataka yote ya mwili kama vile kufanya scrub. Bibi harusi mtarajiwa husingwa na kufahamishwa jinsi ya kumsinga bwana, almuradi hapo ni usafi kwa jumla. na mara nyingi bwana hua anasingwa kila alhamis na anatiwa na alwoud na kufukizwa udi, shurti ukimuona ijumaa anangara, pia anasingwa anporudi safari.

  ReplyDelete
 4. wamependeza ila deat inahitajika

  ReplyDelete