TAMARA'S DAY!!!

NAME                         ::TAMARA
EVENT                       ::TAMARA DAY
VENUE                       ::VIJANA HALL
COLOR                      ::YELLOW, BLUE & GOLD
MC                              ::ZAWADI

YES!!!! NI TAMARA DAY, BAADA YA KUCHEZWA, KAMA MILA NA DESTURI ZAO ZINAVYOTAKA, HIZI NI MILA WAO, HAPANA CHEZEYA MAMA YAKE ZENA NA SOMO KYADAW MAMBO YAKO JUUU.....!!!

TAMARA AKIINGIA UKUMBINI.....!!!
MC
MC ZAWADI YUKO JUUU
DECOR...///
CHAMPAGNE
BURUDANI
RAHA ORIGINAL WAKITUPA RAHA, HAPANA CHEZEYA......!!!
TAMARA AKITUNZWA...!!!!
ALIANZA MAMA KUTOA
MAMA AKIKABIDHI ZAWADI
MAMA MZAZI WA TAMARA AKISASAMBUA ZAWADI
TAMARA AKITUNZWA MADINI 
MAMA AKIMKABADHI TAB BINTI YAKE, MAMBO YA DIGITAL
MAMA AKIMPA MWANAYE CHEQUE YA MILLION 3 MWANAYE KWA AJILI YA SCHOOL FEES....!!!
ODO SALMA AKIMTUNZA DADA YAKE ZENA
SALMA AKIMTUNZA DADA YAKE
MAMBO YA SILVER ORIGINAL
LATIFAH NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA TAMARA
LATIFAH UKO JUU NA BEGI LV
TAMARA, LATIFAH & FRIEND
MASHOSTITO WAKE TAMARA WAKIMPA ZAWADI, AKAPUMZIKE KWENYE HOTEL PAMBE TU
ZENA AKIFUTWA JASHO NA KIKNDI CHAKE
WANA KIKUNDI SHURTI KWA SARE PAMBEEE
HAPANA CHEZEYA ZENA KATUNZWAJE NA KIKUNDI CHAKE MILLION 5
LATIFAH AKIMTUNZA ZENA MAMA YAKE TAMARA
SALMA & ZENA WAKIFUTWA JASHO
ODO SALMA AKIFUTWA JASHO
TANT BOY NA KAMPANI YAKE WAMFUTA JASHO ODO SALMA 
KYDAWA AKITUNZWA
CHAKULA
NYUSO
MWARI NA SOMO
SHOSTITOS
TANT NA BINTI YAKE
KYDAWA & SHOSTITOS
AISHA MTENGETI & NDUGU ZAKE
TANT BOY, KHADIJA MTOTO WA TANT & TATU LUMELEZI
LATIFAHA & TAMARA
AISHA MTENGETI & MDOGO WAKE
TAMARA & SHOSTITO
ZENA & TAMARA SISTERS
LATIFAH, KYDAWA NA TAMARA
SOMO NA MWARI
MAMA MZAZI WA TAMARA ZENA
BFF NYOTA NA SALMA
KYDAWA NA SOMO ZAKE, NYOTA, SALMA & MAMA MAJUTO
SALMA MAMA MDOGO WA TAMARA
KULTHUM
TAMARA NA SOMO YAKE KYDAWA
MAMA MZAZI WA TAMARA ZENA & MDOGO WAKE SALMA
LATIFAH & FRIENDS
RED CARPET

Post a Comment

7 Comments

 1. Natamani rais kikwete apige marufuku hayo marangi ya machoni watu cjui hawajiangalii ktk vioo

  ReplyDelete
 2. Manshallah mwali kapendeza na waalikwa wote

  ReplyDelete
 3. wamependeza kweli. .ila makeup wengine wanaovadoooooo hadi wanatisha

  ReplyDelete
 4. Mosco tupo juu! tamala umependeza mwanangu! dada ake mwenyewe wap da salma. Jane gumbo!shoga angu dada angu zena umetishaaaaaa!!hapana chezea wewe wap dizaina mwaj! Kydawa !mama cool fety!tiffa! Saida! Mie tu ndo sikuwepoooooo

  ReplyDelete
 5. bi harusi simple na kapendezajeeee,nimependa nguo yake na shape yake nzuri mwenyewe na hips zake za kichokozii basi nguao imemkaaje sasa..make up artist wake yuko juu hajamkandika ..umependeza bi haruc maintain that figure usijiachie ukawa Tutusa..Mandogom ake ana smile nzuri,nimempenda bureee halaf wanafanana na bi haruc

  ReplyDelete
 6. MaashAllah tamara ni mzuri sana na amependeza mola amuepushie na hasada za wa walimwengu

  ReplyDelete
 7. mashallah harusi nzuri bi harusi kapendeza sana na mama zake pamoja na waalikwa wote,,bila ya kumsahau mdogo wangu salma mwerani pendeza sana na dera lako mamito

  ReplyDelete