TANZIA!!!

NDUGU WAPENZI WA BLOG YA MASHUGHULI NJE NA NDANI YA NCHI, NASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA MZITO WA MAMA YANGU MZAZI BI, DENSIANA BERNARD MATEMU, KILICHOTEKEA SIKU YA TEREHE 20/04/2014 ARUSHA, MBAUDA, MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA ARUSHA NYUMBANI KWA MAREHEMU!!!
BWANA MUNGU NDIYE MUWEZA YA YOTE, TUMUUOMBE AIWEKE ROHO YA MAMA YETU MAHALA PEMA PEPONI AMEEN!! NI MIMI HELLEN WA MASHUGHULIBLOG - SHUKRANI

Post a Comment

46 Comments

 1. Pole sana da Hellen

  ReplyDelete
 2. Pole sana dada kwa msiba ulio kupata nisafari yetu wote ila yeye ametangulia mungu ametoa na mungu ametwaa jina lake lihidimiwe.

  ReplyDelete
 3. Pole sana Helen na family yako kwa kuondokewa na mzazi mpendwa.Mola ampe malazi mema peponi.R.I.P. Kazi ya mungu haina makosa.Katangulia nasi tuko nyuma..Tuko pamoja.Your sis Mossy

  ReplyDelete
 4. Pole dada helen,mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,amina..

  ReplyDelete
 5. Pole sana Hellen, Mungu amueweke marehemu mahali pema pepono. Ameen

  ReplyDelete
 6. Poleni sana Mwenyezi Mungu yupo pamoja nanyi na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..Ameen !!

  ReplyDelete
 7. Poleni sana sana Mwenyezi Mungu yupo pamoja nanyi, na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Ameen !!

  ReplyDelete
 8. POLE SANA DADA HELEN,MUNGU AKUPE WEPESI KATIKA WAKATI HUU MGUMU,REST IN MAMA...........

  ReplyDelete
 9. Pole sana inshaallah m.mungu akupe subra.

  ReplyDelete
 10. Pole sana dada kazi ya mungu haina makosa

  ReplyDelete
 11. Pole sana kwa msiba dada Hellen ,mwenyezimungu akupe subra katika kipindi hiki in shaa Allah.
  Mwenyezimungu ampumzishe kwa Amani mama yetu,alipe nuru kaburi lake .

  ReplyDelete
 12. Pole mungu amrehemu mama
  Ni wakati mgumu sana kwako lakini kazi ya mungu haina makosa

  ReplyDelete
 13. My friend Helen b strong. Pls accept my heart felt condolence.

  ReplyDelete
 14. Pole sana dada Helen, Mungu akupe nguvu za kukabili machungu! Mwenyezi Mungu ampe raha ya milele na mwanga wa milele amuangazie , Apumzike kwa Amani - Amina!

  ReplyDelete
 15. Pole sana MUNGU wa mbinguni akupe faraja dada

  ReplyDelete
 16. Pole sana Hellen, Mungu akupe subra katika kipindi hiki kigumu

  ReplyDelete
 17. pole my friend mungu atakupa nguvu na subira katika kipindi hiki kigumu cha msiba yote mipango ya mungu kila nafsi itaonja mauti

  ReplyDelete
 18. Pole sana Hellen inshallah Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

  ReplyDelete
 19. POLE SANA KIPENZI MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI MAMA NA NYIE NDUGU, WATOTO, JAMAA NA MARAFIKI AWAPE SUBRA INSHAALLAH

  ReplyDelete
 20. Pole sana mpendwa mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako ,bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE EE BWANA APUMZIKE KWA AMANI mama yetu DENSIANA BERNARD MATEMU

  ReplyDelete
 21. POLE SANA DADA YANGU KWA MSIBA MZITO
  MUNGU AKUPE IMANI NA NGUVU
  APUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU MPENDWA.

  ReplyDelete
 22. pole sana dada Hellen hakina uko katika wakati mgumu sana. tulimpenda sana ila mwenyezi MUNGU akampenda zaidi apumzike kwa amani mama yetu

  ReplyDelete
 23. Pole sana Dada Helen,M'Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Mama..Amin

  ReplyDelete
 24. pole sana mamdogo mungu akupe moyo wa subra mimi mamdogo kaundime

  ReplyDelete
 25. Pole sana dada Hellen, Mwenyezi Mungu akupe wepesi kipindi hiki kigumu.

  ReplyDelete
 26. pole dada Helen Mungu AKUTIE NGUVU NA AMSAMEHE MAMA YETU I CAN IMAGN THE SITUATION POLE

  ReplyDelete
 27. Pole sana,MUNGU akupe nguvu na uvumilivu katika wakati huu mgumu kwako.

  ReplyDelete
 28. Poke sana Dada Hellen na Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu R.I.P MUM

  ReplyDelete
 29. pole sana da Hellen mungu akupe nguvu ktk kipindi kigumu

  ReplyDelete
 30. POLE SANA.MAY GOD REST HER SOUL.

  ReplyDelete
 31. Pole sana dada yetu, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amin.

  ReplyDelete
 32. Innah lillahi waina illahi rajiuun. Poleni sana Helen kwa msiba wa mama, mungu awajaalie mzike kwa usalama

  ReplyDelete
 33. Pole sana Hellen, kazi ya Mungu haina makosa. Inshallah Mwenyezi Mungu atakupa Subra!

  ReplyDelete
 34. pole dada helen Mungu akutie nguvu

  ReplyDelete
 35. Pole sana da Hellen, najua unapitia kipindi kigumu sana kwani nimepitia kipindi kama hicho mwaka uliopita, muombe sana Mungu akutie nguvu maana kwenye hili peke yako huwezi dada.

  ReplyDelete
 36. Pole sana da hellen

  ReplyDelete
 37. Pole sana dada yetu Mungu ampumzishe kwa amani.

  ReplyDelete