USIKU WA JOSE!!!!!

BRIDE                        ::JOSE MKWECHE
EVENT                       :: JOSE’s NIGH
VENUE                       ::PJ HALL
COLOR                      ::PINK, PURPLE & RED
MC                              ::KIDE
ENTARTAINMENT  ::RAHA ORG. LIVE BAND & KIBAO KATA
YES NI USIKU WA JOSE HAPO MITAA YA KINONDONI, HAPANA CHEZEYA JOSE KATUNZWAJE, MDOGO MTU MARIAM ALL THE WAY FROM CHINA TUPA KULE MILION MOJA KWA AJILI YA NDUGUYE, RAHA ORIGINAL IKIONGOZWA NA USTAAD WALIRUSHA ROHO, KIBAO KATA NACHO CHACHEZWA KWA SANA..!!!

JOSE ALIBADILI NGUO BAADA YA KUFUNGUA CHAMPAGNE
MC KIDE
HUYU NDIYE ALIYETUENDESHA KIDE WA UKWEE'E TISHA
MAMA MDOGO AKIKARIBISH WAGENI
JOSE AKIINGIA UKUMBINI
DECOR...////
ZAWADI
MWARI AKIFICHULIWA....!!!!
CAKE
DOTTO ALIKATA KEKI NA MDOGO WAKE MARIAM, ALL THE WAY FROM CHINA
AKAWALISHA MAMA ZAKE 
MWARI NA SOMO WAKILISHANA KEKI
MWENYEKITI WA KAMATI MUHESHIMIWA DOTTO MAGANGA AKIPOKEA KEKI YA KAMATI
CHAMPAGNE
BURUDANI
RAHA ORIGINAL LIVE TAARAB WAKITOA BURUDANI
HUKU MAMBO YA KIBAO KATA
UMEONA MPAKA CHINI
MARY ULIGUSWAJE MPAKA TUNZA...!!!
MATUNZANO
WALIANZA MAMA ZAKE NA JOSE KUMPA ZAWADI 
SOMO DALILAH JAGGAR AKIMPA MWARI ZAWADI YAKE
MARIAM MDOGO WAKE JOSE FROM CHINA AKIMTUNZA DADA YAKE , BAADA YA KUMKABIDHI ZAWADI ZA UKWEE'E KWENYE PROJECTOR
ASHA BONGO NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA JOSE
MARIAM AKIMTUNZA JOSE
FARIDA TOM NA KAMOANI YAKE WATOTO WA JANGWANI A.K.A FRIENDS OF JANGWANI WAKIMTUNZA JOSE
SUPER STAR TANT BOY NA KAMPANI YAKE WAKIENDA KMTUNZA JOSE
JOSE NA MWAVITA WAKIKOSHWA
MAMA TANT AKIMKOSHA JOSE

FATMA JANGUO AKIKOSHWA
SALMA AKIFUTWA JASHO
SAADA NA KAMPANI YAKE AKIMKOSHA SHOSTI WAKE SALMA
MARIAM AKIKOSHWA NA MASHOSTITO
CHAKULA
NYUSO
SISTERZ
ALMA, MARIMA & FRIEND
FARIDA TOM & JASMINE AFUA
FATMA AFUA, TABU MABOBISHI & ASHA
DOTTO MAGANGA, MARIAM & JOSE
SHIDA & JOSE
FATMA JANGUO MAMA MDOGO
TATU LUMELEZI & TANT BOY
SITU MWASU RAISI WA ILALA
BIBIE, FATMA MSOMAL & FRIEND
AMINA MENGI & LUMELEZI
FATMA HASSANO & BINTI YAKE
AMINA, SHARIFFA & MC JAMILA 
MARIAM, ASHA & FRIEND
SAADA & ZAKIA
SHARIFA & LILLY
MARY & FRIEND
HUSNA & FRIENDS
FATMA AFUA, TABU MABOBISHI & ASHA 
JOHA KABOTOKA & FRIEND
REHEMA & FRIEND
ASHA BONGO & FRIEND
HUSNA & FRIENDS
MAMA NA MWANA
ASHURA TICHA & JOKHA
MWAVITA & FARIDA TOM
RED CARPET


Post a Comment

2 Comments

  1. hivi tanti boy siku hizi hanaga vishuhuli maana shuhuli zake zinakuwaga za ukweee

    ReplyDelete