VID FUNDRISING LUNCH!!!

BISMILLAH RAHMAN RAHIYM!!!!
VID
FUNDRAISING LUNCH BUFFET
VOLUNTEERS IN DEVELOPMENT SISTERS WA DAR ES SALAAM WANAKUALIKA BIBI/BWANA .......... 
KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA HISANI YA KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA MAYATIMA NA WASIOJIWEZA KWA DHUMUNI LA KUWASAIDIA KUUMUDU MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN NA EID
.

KIINGILIO::   30,000 KWA MTU MMOJA
UKUMBI   ::  CITY GARDEN - GEREZANI 
TAREHE  ::   4 MAY 2014 SAA SITA MCHANA.

"PESA YOTE YA KIINGILIO ITAINGIA KWENYE SADAKA YA SHUGHULI HUSIKA"
"SADAKA HAIPUNGUZI KIPATO" MANENO YA RASULLAALLAH SAW.         

ALLAH AKUBARIKI!!!!!


MAWASILIANO:: LULU +255 715 551 661/FATMA +255 655 014 601     
 /KAWTHAR +255 714 501 492. 
VID NI JUMUIYA ILOSAJILIWA YA WANAWAKE WA KIISLAM YENYE MADHUMUNI YA KUSAIDIA WAJANE, WAGONJWA, MAYATIMA NA WASIOJIWEZA. PIA INASAIDIA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIELIMU, MISKITI NA MADRASSA.

Post a Comment

2 Comments

  1. Inshallah Mwenyezi Mungu atupe uzima.waislam wenzangu tujitokeze kwa wingi siku hiyo

    ReplyDelete