JAMILA's BABY SHOWER!!!

EVENT                         :: BABY SHOWER
VENUE                         :: BELINDA BEACH RESORT
COLOR                        :: PINK & WHITE
YES!! NI BABY SHOWER YA JAMILA ILIYOANDALIWA NA MASHOSTITO WAKE, WALIAMUA KUMFANYIA SHUGHULI SIKU YAKE YA KUZALIWA, ZAWADI PAMBE, BABY KIJACHO ATACHEZEAJE MADINI...!!! HAPANA CHEZEYA MASHOSTITO WA UKWEE'E

 MUMMY'S TO BE  JAMILA...!!!
JAMILA AKISHUKURU NA KUKARIBISHA WAGENI..!!!
 
MC-JUSTIN
MC ALINIAMBIA KUWA HII SI KAZI YAKE, BUT YUKO KWA AJILI YA SISTER WAKE..!!! LAKINI NINA WASIWASI KWA SABABU ANAJUA HUYOO..!!!!
ZAWADI
DECOR...///
CAKE
ILIKUWA NI BIRTHDAY YA JAMILA
 SUPRISE CAKE FOR JAMILA..!!
 MARAFIKI WA JAMILA WAKIMSUPRISE NA CAKE, KWA HIYO JAMILA ALIAMBIWA AGEUKE ILI CAKE ILETWE...!!!!
 MARAFIKI WA JAMILA WAKIINGIA NA CAKE
 MASHOSTITO WAKIMKABIDHI CAKE JAMILA
 JAMILA NA SUPRISE CAKE...!!!
 WEMA AKIMWIMBIA JAMILA BIRTHDAY SONG JAMILA
CHAMPAGNE
TULIKUWA NA CHAMPAGNE 2 TU ZENYE MAJINA DUNIANI...!! CHEZEYA WAO!!!
 
MAMA KIJACHO JAMILA ALIZUNGUKA KILA MEZA KUGONGA GLASS!!! ZOEZI EEH!! YUKO FIT HUYO
ZAWADI
ALIANZA DADA YAKE JAMILA KIPENZI KHADIJA KUTOA ZAWADI
KHADIJA AKISASAMBUA ZAWADI ZAKE
HAPANA CHEZEYA KHADIJA MBELE KITU CHA HERENI NA MKUFU MADINI
DOROTHY & SHOSTI WAKITOA ZAWADI
DOROTHY & FRIEND WAKAANZA KUMKOSHA JAMILA NA PESA...!!!
AUNT, WEMA & NICE WAKITANGAZA ZAWADI YAO AMBAYO HAWAKUWEZA KUILETA KITANDA CHA MTOTO...!!!
MUMMY'S TO BE POZI
SALMA AKIMPA ZAWADI SHOSTI WAKE...!!!
JAMILA NDANI YA MUMMY'S TO BE..!!
WADAU WA MWANZA HAO...!!
KITUNGUU SWAUMU CHENYE NAKSHI, MADINI HAYO..!!!
WADOGO ZAKE JAMILA WAKIMPA ZAWADI
JAMILA ALIKOSHWAJE KWA PESA MPAKA POUND
 
KYIDAWA AKITAMBA KWENDA KUMPA ZAWADI SHOSTI
KYIDAWA ALIANZA KUMTUNZA SHOSTI WAKE KWA BABYSHOW YENYE PESA..!!
KISHA AKAKABIDHI KABATI LA NGUO ZA BABY KIJACHO
CHAKULA
NYUSO
FRIEND OF JAMILA
WEMA. NICE, JAMILA & AUNT
KYIDAWA & SHOSTITO JAMILA
SALMA & JAMILA
DOROTHY & FRIENDS
KYIDAWA & WEMA
WEMA, NICE & AUNT
HAPPY PEOPLE...!!!
KHADIJA, WEMA & FRIEND
WEMA & NELLY
JAMILA, KYIDAWA, SALMA & FRIENDS
SALMA & WEMA TOP LADY!!!!
KYIDAWA, AUNT & NICE
SELFIE.....!!!!
RED CARPET
SWAGGA


Post a Comment

2 Comments

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. wema umependeza sana na aunt, ngozi yako imerudi vizuri

    ReplyDelete