JEFFER & SUBIRA RECEPTION WEDDING!!!

BRIDE                          :: SUBIRA
GROOM                       :: JEFFER
EVENT                         :: RECEPTION WEDDING
VENUE                         :: KWALALUMPA HALL
COLOR                        :: ORANGE & ROYAL BLUE
MAKEUP                      :: GLAMBOX WEDDING
CAKE                           :: LIZ & ANNE
NI WALE HAPPIEST COUPLE SUBIRA & JEFFER WEDDING RECEPTION, BWANA JEFFER AMETISHAJE KAMKOSHA MKEWE KWA MADOLLA HAPANA CHEZEYA!! KAMA NAIJA VILE!!! BIG UP KWA SUBIRA PENDEZA SANA SHUGHULI ZOTE ZAMA NDANI KUONA ZAIDI-FOLLOW US ON INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG

 
 
MC
WAJINA HELLEN AKITUONGOZA
MARUSI WAKIINGIA
WALIANZA KUINGIA MAIDS...!!!
HAPPIEST COUPLE!!!
DECOR
INTRO
JEFFER KWANZA ALIANZA KUMTAMBULISHA MKE WAKE SUBIRA
SUBIRA AKITOA UTAMBULISHA WA FAMILIA YAKE
AKIMTAMBULISHA MUME WAKE KIPENZI
CAKE
WAKIMLISHA SALMA
CHAMPAGNE
WAZAZI WAKIONGEA NA MAARUSI
BURUDANI
JEFFER & SUBIRA WAKIFUNGUA MZIKI
ZAWADI
JEFFER AKIMTUNZA MKE WAKE KWA DOLLAR
JEFFER AKIMTUNZA MKE WAKA DOLLAR
UNACHEZA NA DOLLAR
CHAKULA

NYUSO
HAMISA & JEFFER SHEM
MR & MRS WAHURE NA WATOTO WAO
   
WAZAZI WA SUBIRA

HAWA, MR & MRS JEFFER
RED CARPET

Post a Comment

3 Comments

  1. Dada rekebisha ktk events umeandika k.party

    ReplyDelete
  2. Nic wedding hii inaonekana kama reception naona umeandika kitchen party.

    ReplyDelete
  3. pendeza wenyewe the bride is sooooo pretty

    ReplyDelete