SOPHIA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                        :: SOPHIA AKIDA
EVENT                       :: KITCHEN PARTY
VENUE                      :: MANGO GARDEN
COLOR                      :: PINK, PURPLE & SILVER
MAKEUP                   :: ASILA BRIDAL CARE
CAKE                         :: MANZI CAKE - 255 713 248 153
DESIGNER               :: BAHIYA LUMELEZI – 255 713 233 362
CATERER                 :: MANZI CATERER-255 713 248 153

SOPHIA'S KITCHEN PARTY YAFUNIKA...!!! BI ARUSI KAPENDEZA BIG UP TO MY ASILA, KWA MAKEUP NA NYWELE, SHUGHULI IMETISHA HAPANA CHEZEYA MWANANA MANZI, NI YULE WA MJENGONI MBEZI AKISIMAMIA SHUGHULI KILA KITU SHWARI, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....

MAKEUP BY ASILA INGIA HAPA KUONA KAZI http://asilabridal.blogspot.com/
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARIBISHA WAGENI
SOPHIA AKIINGIA UKUMBINI
 
 MWARI AKIFICHULIWA....////
 
SOPHIA AKITOA UTAMBULISHO!!!
DECOR.....////
 ZAWADI
CAKE
BURUDANI
ZAWADI
MAMA AKIMPA ZAWADI BINTI YAKE
MAMA AKAMPA KABATI LA VYOMBO
MAMA AKIKABIDHI KABATI LA NGUO
 DADA YAKE BI ARUSI HUSNA AKIMPA ZAWADI MDOGO WAKE BI ARUSI
 KISHA AKAMPA DRESSING TABLE
 SOMO MWANAISHA NA KAMPANI WAKIENDA MPA ZAWADI BI ARUSI VYOMBO VYA JIKONI.....
 AMINA MENGI NA KAMPANI YAKE WAKIMFUTA JASHO SOMO
 MWANANA MANZI NA NDUGU ZAKE NEEMA NA WAMBELA WAKIMPA ZAWADI MICROWAVE BI ARUSI
 HUSNA & SOPHIA WAKIMTUNZA MAMA YAO
HUSNA DADA YAKE BI ARUSI AKIMFUTA JASHO SOMO
MAHELA
KAMA KAWAIDA YAKE YEYE UTUNZA DOLLAR,  MWANANA MANZI AKIMFUTA JASHO WIFIYE MWANAISHA
 WAMBELA AKIMTUNZA NDUGU YAKE MWANANA MANZI
 KISHA MWANANA MANZI AKIFUTWA JASHO NA NDUGU YAKE WAMBELA
CHAKULA
NYUSO
MAMA NA MWANA
MWANANA NA MANZI & SOPHIA
MWAGUMBO & AMINA MENGI
MAMA MZAA CHEMA
MWARI NA SOMO
MWANANA MANZI, SOPHIA & HUSNA
MWANAISHA SOMO YAKE SOPHY & FRIEND
ROSE MBAGA & FRIEND
MAMA MANZI & FRIEND
MAMA MANZI NA WAREMBO
RED CARPETPost a Comment

2 Comments