SOPHIA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                          :: SAPHIA (FATMA)
EVENT                         :: KITCHEN PARTY
VENUE                         :: KWALALUMPA HALL
COLOR                        :: ORANGE, PURPLE, PINK & GREEN
MAKEUP                      :: GLAMBOX WEDDING
CAKE                           :: MERY
DESIGNER                   :: NGUO YA KWANZA - MANJU
NI SOPHIA KITCHEN PARTY KAVISHWA NA MADESIGNER WAWILI TOFAUTI NGUO YA KWANZA NI YA KIAFRIKA MANJU KAZI YAKE NI YA MIKONO, SWAGA ZA NAIGERIA ZACHUKUA NAFASI ZAIDI, BI ARUSI KATUNZWA MIZAWADI ZAMA NDANI

 MC

SOPHIA AKIINGIA UKUMBINI
HAPANA CHEZEYA WALIPANIAJE KUNZIA JUU MPAK CHINI SARE SARE
SOPHIA AKIFICHULIWA
INTRO....///
DECOR...////
 ZAWADI
CAKE
SOMO YAKE SOPHIA HUYOO!!!
 CHAMPAGNE
SOPHIA NA NGUO YA PILI
BAADA YA CHAMPAGNE BI ARUSI ALIBADILI NGUO
MBURUZO
MBELE ILIKUWA NI KIASILI ZAIDI WAPAMBE WALIKAA KWENYE VIGODA
 BURUDANI
ZAWADI
SOMO AKITUMTUNZA MWARI WAKE
SHARIFFA AKIMTUNZA BI ARUSI FRIDGE MPYA TWO DOORS!! HAPANA CHEZEYA
FATMA NA KAMANI YAKE WAKITOA ZAWADI
FATMA AKIMTUNZA JIKO SOPHIA
DADA YAKE BI ARUSI FATMA AKIFUTWA JASHO
KAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI ZAO
M-MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI ZAWADI ZA KAMATI
CHAKULA
NYUSO
LATIFAH & SHOSTITOS
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

 1. pendeza bi harusi zaid na gauni ya pili, da mamu ulisema watakao chapia kwenye make up hutawaweka kulikoni
  wengi leo walichemsha hasaa, jamani mie mzenji mambo ya kukabidhiwa fanicha kwa ukumbi kwetu hayapo hivi hizi fanicha zinakua kweli ni za bibi harusi ama matangazo tu kwa baadhi ya shughuli (sisemei hii) nauliza kiujumla wake mana mmmhh kama kweli mashaallah, tupeni siri yake

  ReplyDelete
 2. umependeza sana nimekupenda bure

  ReplyDelete
 3. Mmependeza si haba, Nguo ya pili ya Bi kharusi ni Bomba mbaya!!!! ya kwanza hata kama ni fashion MMhhh tabu kidogo. Mwamvita mbona mnafanana na Bi kharusi ni mdogo wwako.? Kila la kheir.

  ReplyDelete
 4. Anony wa mwanzo nakujibu...hata mie nipo zenj na hizo zawadi ni za kweli kabisa hata juzi sie tumemfanyia hawa kitchen party glande palace hotel na tulimpa zawadi za nguvu mama upo?

  ReplyDelete