SUBIRA's KITCHEN PARTY!!!


BRIDE                          :: SUBIRA WAHURE
EVENT                         :: KITCHEN PARTY
VENUE                         :: MSASANI BEACH HALL
COLOR                        :: HOT PINK, GOLD & BROWN
MAKEUP                      :: GLAMBOX WEDDING
MAIDS-MAKEUP           :: MAZNAT BRIDAL
DESIGNER                    :: SUBIRA WAHURE- +255 719 666 564
YES NI KITCHEN PARTY YA DESIGNER SUBIRA ALIYESOMEA SANAA YAKE UDSM, MBALI YA KUWA ILIPENDEZA SANA, MIMI NILIFURAHISHWA NA KAZI ZAKE ZA UBUNIFU, SUBIRA ALIVAA NGUO MBILI NA ZOTE AMEDESIGN YEYE, NI BI ARUSI ALIYEWATUMIA MAKEUP ARTIST WAKUBWA JIJINI TOFAUTI KATIKA SHUGHULI ZAKE, SUBIRA AKIWA NA FURAHA MWANZO MWISHO ALIPENDEZESHA SHUGHULI YAKE, SARE IMESHONWA NA WAALIKWA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....!!! FOLLOW US ON INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG

UKITAKA KAMA HII AU NYINGINE MPIGIE SIMU TU..!!!
MBURUZO WA UKWEEE'E
SUBIRA BAADA YA KUFICHULIWA ALIBADILI NGUO WADAU NGUO ZOTE MBILI ALIZOVAA SUBIRA PAMOJA NA MAIDS WAKE DESIGNER NI SUBIRA WAHURE MPENI KAZI NAMBA HII HAPA +255 719 666 564
MY HAPPIEST BRIDE!!!
MC
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI
ALIANZA KUINGIA MAMA NA PAMBE YA KINAMAMA WENZAKE
SALMA AKIMSAFISHIA NJIA DADA YAKE
MAIDS WAKIINGIA UKUMBINI, NGUO DESIGN BY SUBIRA
KWANZA WALIINGIA WAPAMBE WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
 SUBIRA ALIINGIZWA NA BENBAT, HAPANA CHEZEYA SHANGWE KUANZIA NJE..!!!
 NGUO HIYO SASA DESIGN BY YEYE MWENYEWE
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
MWARI AKIFICHULIWA
MAMA AKIMFICHUA BINTI YAKE
HAWA MKAMBA BINTI MWENYE HESHIMA, NAMPENDAJE AKIMFICHUA SHOSTITO SUBIRA
INTRO...
  NGUO DESIGNER NI YEYE MWENYEWE, MSOMI WA CHUO KIKUU UD
 SUBIRA AKIITAMBULISHA FAMILIA YAKE
MAMA NA BINTI YAKE SALMA KITNDA MIMBA KACUTE, MASHALAAH MUNGU AKUJAALIE AWE BINTI MNZURI KAMA DADA YAKE
SHANGAZI AKIMCHUMU BINTI YAKE KWA FURAHA
 DECOR...///
CAKE
SUBIRA ALIANZA NA MAIDS WAKE
SALMA MDOGO WAKE SUBIRA AKIMLISHA MAMA 
HAPPIEST MAMA NA MWANA
NI MAMA NA MWANA
CHAMPAGNE
SUBIRA WITH CONFIDENCE AKIFUNGUA SHAMPAGNE 
BURUDANI
NILIPOONA HII NGOMA NIKADHANI NI YA KIKURIA, KUMBE SIO WANAITWA MSIMAMO, BI ARUSI SUBIRA AMESOMA SANAA UDSM, HAO NI WANA SANAA WENZAKE AMBAO WALIKUJA KUMPA HONGERA SUBIRA KWA KUTOA SHOW...!!!
BI ARUSI ALIYEFURAHI SHUGHULI YAKE
PAPARAZI WA INSTA...!!! JE MNANIFOLLOW KUPATA ZA JIKONI...!!
SUBIRA WAS VERY HAPPY BRIDE!!!
ZAWADI
KAMA KAWAIDA NI MAMA KWANZA KUKABIDHI ZAWADIMAMA AKIMKABIDHI BINTI YAKE SANDUKU LAKE
DADA ZAKE SUBIRA, WAKIONGOZWA NA ASHA WAKIMTUNZA MDOGO WAO
MUME UMTENGENEZE JUICE FRESH..!!!
BIBI ZAKE SUBIRA WAKIKABIDHI ZAWADI
SUBIRA AKIFUTWA JASHO NA MASHOSTITO
MAMA AKIFUTWA JASHO NA KUTUNZWA!!!
WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI YAO YA FRIDGE AMBAYO HAIKUWEZA KUFIKA UKUMBINI...!!!
MWENYEKITI WA KAMATI, NURU MWENDO AKIKABIDHI ZAWADI
SUBIRA AKIMPA ZAWADI MAMA YAKE
KISHA AKAMFUTA JASHO MAMA AKAMWAMBIA JAPO SITAWEZA KUKULIPA YOTE ...!!!
MAMA WAHURE AKIFURAHIA MAHELA, KUKOSHWA NA MWANA RAHA
SUBIRA AKIMSHUKURU MAMA, NA MAMA NAYE AKIMSHUKURU BINTI YAKE WA KWANZA
MAMA AKIKABIDHA KAPU LA MAMA, AKISINDIKIZWA NA WENZAKE
CHAKULA
NYUSO
SUBIRA & HAMISA - SISTERZ FOREVRE
MDOGO WAKE SUBIRA HAMISA
MAMA MZAA CHEMA

SUBIRA NA MAMA YAKE KIPENZI PENDEZA SANA
HAWA MKAMBA & FRIEND

MAMA SUBIRA AKIWA NA MAMA MZAZI KUSHOTA NA MAMA MKUBWA
RED CARPETSWAGA

Post a Comment

3 Comments

  1. wamependeza sana hongera subira maisha mema ya ndoa

    ReplyDelete
  2. imenogaaaaaaaa, bi haruc umenifurahisha full kujiachia bibi weee

    ReplyDelete