UPENDO's KITCHEN PARTY!!!!!

BRIDE                        :: UPENDO ABDALLAH UTOTO
EVENT                       :: KITCHEN PARTY
VENUE                      :: AROMA HALL - TABATA
COLOR                      :: BROWN, ORANGE & CREAM
MAKEUP                   :: GLAMBOX WEDDING
CAKE                         :: MAMA SIGERA
DESIGNER               :: MANJU
HONGERA KWAKE DESIGNER MANJU KWA KUMPENDEZESHA UPENDO NA NGUO ZA KIAFRIKA, NILIFURAHI SANA KUKUTANA NA KAZI YAKE..!!! KIUKWELI BINTI KAPENDEZA SANA NA RANGI YA NGOZI YAKE MASHALLAH!!!-FOLLOW US ON INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG

 MC MUU AKILIVURUMISHA
UPENDO AKIINGIA UKUMBINI
 UPENDO AKIINGIA KAPENDEZAJE, DESIGNER MANJU KAITENDEA HAKI NGUO!!!
MAMA MZAA CHEMA AKIINGIA
 MAMA PENDEZA SANA AKIINGIA UKUMBINI KWA KUJIAMINI, MASHOSTI WAKIMPOKEA
UPENDO AKITAMBULISHA FAMILIA...!!!
DECOR....////
 ZAWADI
CAKE
 UPENDO AKIKATA KEKI
UPENDO NA MAMA YAKE WAKILISHANA KEKI
MWENDO WA KAMATI KUPOKEA KEKI
 CHAMPAGNE
YES AKIWASAVE WAZAZI
 CHEERS MAMA NA MWANA
BURUDANI
UPENDO AKICHEZA KWAITO YAKE EEH!!!
ZAWADI
 MAMA MZAA CHEMA AKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO
 UPENDO AKIMSHOWER MAMA YAKE MONEY MONEY!!!!!
  BIG HUG FROM MAMA...!!!!
MAMA NA MWANA
 UPENDO AKIGAWA ZAWADI
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
WADADA PENDEZA SANA
NDOVU FAMILY NGA'RINGA'RI
 CHAKULA
RED CARPET
 
 
Post a Comment

6 Comments

 1. jamani sare na wageni pia mwali wamependeza sana!

  ReplyDelete
 2. Wow! iko poa sana, bibi harusi kapendeza sana, wageni waalikwa na sare mmepandeza sana. hongera sana Upendo, Mungu akujaalie katika ndoa yako

  ReplyDelete
 3. pendeza sana jmn

  ReplyDelete
 4. Hongera upendo dear ulipendeza mno!

  ReplyDelete
 5. Sherehe imependeza saaaana, Makeup pia imetulia sana kuanzia bibi harusi mtarajiwa mpaka waalikwa, haya ndo tujifunze jamani, sio kumaliza poda kwa siku moja ndio kupendeza hapana.

  ReplyDelete
 6. It was all mwaaah! Sare ilibamba kisawa sawa, Upendo alipendeza sana na amechangamka!

  ReplyDelete