USIKU WA ZAWADI WA FATMA!!

 YAP NI USIKU WA ZAWADI FATMA, BAADA YA NDOA MASHOSTITO NA NDUGU WAKAMWAMBIA LAZIMA TUKUKOSHE NA KUKUPA ZAWADI, FATMA AKIWA NA SOMO YAKE FARIDA TOM, HUKU FRIENDS OF JANGWANI WAKITUNZA KWA TASHITITI

 MC
FATMA AKIINGIA
 
 SOMO FARIDA NA PAMBE YAKE WAKIMUINGIZA MWARI..!!!
FATMA AKIWAKARIBISHA WAGENI WAALIKWA NA KUWASHUKURU
DECOR...///
FATMA AKIFICHULIWA
HAPANA CHEZEYA DADA AKIMFICHUA MDOGO WAKE KWA DOLLAR
BURUDANI
 TULIKUWA NA RAHA ORIGINAL LIVE MNATESEJE...!!!
 WANA WA KIBAO KATA
WENYE KIBAO KATA WAKICHEZA

ZAWADI
ALIANZA DADA YAKE FATMA KUMPA ZAWADI
 ASHA ALIANZA KUMPA KITANDA MDOGO WAKE
KISHA AKAMTUNZA KABATI LA NGUO
 SISTERS, ASHA BONGO NA MDOGO WAKE BI ARUSI
SOMO FARIDA TOMO AKIMTUNZA MWARI WAKE
PAMBE YA SOMO WAKIMSINDIKIZA SHOSTI WAO
ZAKIA.... FRIENDS OF JANGWANI
 KAMPANI YA FARIDA TOMO, FRIENDS OF JANGWANI WAKITAMBA...EEH!! WAKO JUUU ORANGE MMEGAA SANA!!!
 JASMINE MTOTO WA BI AFUA AKIIMBA KUMUUINGIZA SOMO KUMTUNZA MWARI
FARIDA TOM AKIMTUNZA SHOSTITO
 
SAUTI YAKE MASHALLAH!! MTOTO WA NYOKA NYOKA...
SOMO AKIMKABIDHI MWARI KABATI YA VIOMBO
 FATMA AKITUNZWA NA DRESSINT TABLE NA SHOSTITO
 MASHOSTITO WAKIMTUNZA FATMA DOLLAR
 JOSE AKIMPA ZAWADI FATMA
 KAKA ZAKE FATMA WAKIMTUNZA DADA YAKE
NYUSO
ZAKIA, SAADA & FRIEND
SOMO NA MWARI
FATMA & TABU MAMOBISHI
ASHA BONGO DADA YAKE BI ARUSI
JASMINE, ZUHURA & FARIDA TOM
ASHA BONGO & FRIENDS
GEA HABIB
GEA, FATMA & FRIEND
MWAVITA & FRIEND
ASHA TOM & SHOSTITO
 FATMA & BROTHRS
PACHA...!!!
SALMA & FRIEND
JOSE & FRIEND
FATMA HASSANO & FRIENDS
KAHENGA & FRIEND
RED CARPET