NGA'RINGA'RI - VIPODOZI VYA ASILIA!!!

HAYA HAYA WADAU VIPODOZI ASILIA VYENYE UBORA UNAOTAKIWA, RUDISHA NGOZI YAKO ILIYOHARIBIKA NA MIKOROGO KATIKA NGOZI ASILI, UNGA WA KUSINGA UNAOCHANGANYWA NA ROSE WATER, WALE WENYE KUWASHWA NA CHUNUSI KUNA SABUNI YA UBUYU ITAKAYO KUSAIDIA, PIGA SIMU
MAWASILIANO:: +255 714 292 929
BONYEZA KITUFE KUSOMA ZAIDI MATUMIZI YA KILA PRODUCT


 HII NI MAALUM KWA AJILI YA KUSINGA, KWA WATARAJIWA INAWAHUSU...!!! NA SIO WAO WATANASHATI UNAJISINGA PIA, UNACHANGANYA NA ROSE WATER
 NGA'RINGA'RI-MAWESE BODY CREAM
YANANGA'RISHA, YANAONDOA WEKUNDU MWILINI, NA WEUSI UNAOSABABISHWA NA CREAM KALI
 
 NGA'RINGA'RI - CHUMVI BODY CREAM
INASAIDIA KUSAISHA NGOZI, KUONDOA WEUSI MWILINI TUMIA KILA UNAPOKWENDA KUOGA
 MAFUTA YA MAWESE
NI MAFUTA MAALUM KWA AJILI YA KUKINGA NA KUTIBU ALAMA NYEUSI, CHUNUSI NA MABAKABAKA KWENYE NGOZI
 SABUNI YA MAWESE
INANGA'RISHA NGOZI NA KUONDOA MADOA, INASAIDIA SANA  ILIYOHARIBIKA KWA CREAM KALI KURUDISHA NGOZI YA ASILI YA MTU
SABUNI YA UBUYU
INATIBU CHUNUSI, VIPELE, MBA, MUWASHO NA MAPUNYE

Post a Comment

0 Comments