ADELINE's SENDOFF PARTY!!!

BRIDE                                   :: ADELINE RWEHUMBIZA
EVENT                                  :: SENDOFF PARTY
VENUE                                  :: MARATHA HALL
COLOR                                  :: ROYAL BLUE, SILVER & YELLOW
MAKEUP                               :: NDIBS
DRESS                                  :: BLING BOUTIQUE
DÉCOR                                 :: MARATHA HALL
CATERER                            :: MAMA KILAENI
CAKE                                     :: MAMA OSCAR

NI YULE YULE BI ARUSI  ADELINE's NA HII NI SENDOFF PARTY YAKE, AMEPENDEZAJE NGUO YAKE UNIQUE NA MAKEUP NI NDIBS KAMPENDEZESHA ZAMA NDANI UONE MWENYEWE...!!!WANAONIFOLLOW INSTAGRAM NA FACEBOOK MAMBO HAYA WANAONJA LIVE FOLLOW ME INSTAGRAM:: "MASHUGHULIBLOG"
MC
 ADELINA AKIINGIA UKUMBINI
INTRO....!!!!
 DECOR..///
CAKE
CHAMPAGNE
BURUDANI
ZAWADI
ALIANZA BABA KUKABIDHI ZAWADI
MAMA AKIMPA BINTI YAKE ZAWADI
MAMA AKIMPA BIKIRA MARIA
KISHA AKAMKABIDHI TASBIHI
ROSE & GETU WAKIMPONGEZA ADELINA
BAADA YA KUMPA ZAWADI WALIMBEBA JUUU KWA FURAHA
BABA NA MAMA WAKITUNZWA
NAMTAFUTA MCHUMBA
ADELINA BAADA YA KUMPATA MCHUMBA WAKE
BIG HUG
WAKACHEZA WACHUMBA
CHAKULA
MAHABA MAHABANI

NYUSO
ROSE & FRIENDS
ROSE, DADA YAKE BI ARUSI & FRIENDS
BABA NA MAMA
RED CARPET


Post a Comment

4 Comments

  1. Nguo ya Bi harusi mtarajiwa ni nzuri.

    ReplyDelete
  2. ulipendesa sana kipenzi changu Adelina. kila lakheli.......!!

    ReplyDelete
  3. Pendeza my dia nimefurahi kuwaona wana ison....mic u guys

    ReplyDelete