AMINA's NIGHT!!!

BRIDE                                   :: AMINA
EVENT                                  :: KITCHEN PARTY
VENUE                                  :: MSASANI TOWER
COLOR                                  :: PURPLE, ORANGE, YELLOW
CAKE                                     :: DELIGHTFUL BAKES
MAKEUP                               :: GLAMBOX
DÉCOR                                 :: CHIZENGA DECOR
CATERER                            :: TALMA CATERER
YES!!! NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO NA MTULIVU AMINA PENDEZA SANA, DECOR YA UKUMBI YAVUTIA NA RANGI ZAKE, AMINA ALIPENDEZA NA NGUO YAKE ILIYOMFIT SAWASAWA, NI BINTI WA KWANZA WA RAHMA KARANDA HAPANA CHEZEYA KARANDA FAMILIY MAMBO YAKO LEVEL, WATU WA UK MMETISHA NA SET YA MADINI - FOLLOW ME ON INSTAGRAM UYAPATE HAYA LIVE TOKA UKUMBINI "MASHUGHULIBLOG"  

 AMINA AKIINGIA UKUMBINI
WAZAZI WAKIINGIA...////
SISTERZ, KULTHUM & RAHMA KARANDA
 DECOR...///
ZAWADI
 CAKE
 AKAWALISHA WAZAZI
 WAKILISHANA NA SOMO YAKE
CHAMPAGNE
 

BURUDANI
ZAWADI
MAMA AKIENDA MPA ZAWADI BINTI YAKE
ALIANZA KUMPA KITANDA SI MMEKIONA
KISHA MAMA AKAKABIDHI KABATI LA MILANGO SITA
BIBI AKIENDA KUMPA ZAWADI MJUKUU
BIBI KARANDA ALIAZA KUMPA KABATI LA VYOMBA UNATISHA BIBI...
HAPANA CHEZEYA BIBI KARANDA KISHA AKAMPA NEW FRIDGE & MICROWAVE
NOUR NA SHOSTITOS WAKIMPA ZAWADI AMINA YA SOFA SET
SOMO NA PAMBE YAKE WAKITOA ZAWADI YA MWARI
SOMO KUBWA WAKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
MAMA RAHMA KARANDA AKIKABIDHI SANDUKU LA MKWE
MAMA MZAZI ALITAYARISHA SANDUKU LA MKWE WAKE
SANDUKU LA MAMA WADOGO LIKISASAMBULIWA
KITU CHA MADINI SET YA UKWEE'E
AMINA AKITUNZWA MADINI FROM UK, JESTINA GEORGE (FELLOW-BLOGGER), RAHMA POMPY, MWANANA ZUBERI & SHENAAZ MIDEGO
AMINA ALIPOVISHWA SET YA DHAHABU TOKA UK, ALILIA SANA KWA FURAHA!!!
WAFANYAKAZI WENZAKE AMINA WAKIMPONGEZA KWA ONEM
AMINA AKAVISHWA NA PETE YA DHAHABU
SALAMA KINGUI, FATMA SIMBA, REHEMA & HIDAYA WAKIWATUNZA RAHMA & KULTHUM
FAYE AKIWATUNZA WAZAZI MAPOUND, UKO JUUU!!!
MASHOSTITO WAKIENDA KUMKOSHA DADA RAHMA KARANDA
NOUR NA MARAFIKI ZAKE WAKIMTUNZA DADA YAO
MARIAM AKIMTUNZA WIFI YAKE
AMINA AKIWATUNZA MAMA ZAKE
KISHA AKAENDA KUMTUNZA BIBI YAKE
BIBI EEEH HIYO WHITE GOLD TOKA KWA MJUKUU
SOMO AKITUNZWA
MAMA MZAZI AKIMTUNZA SOMO
CHAKULA
 
 NYUSO
  AMINA & MAMA ZAKE
NOUR & FRIEND
AISHA MASIKA & FATMA SIMBA
RAHMA & NOUR - SISTERZ
FAYE & FRIEND
ROSE & FAYE 
SALAMA & REHEMA
KHADIJA & FRIEND
ASIHA MASIKA, AISHA, ROSE & FRIEND
KHADIJA & FREINDS
 NOUR & MARIAM
SHARIFA, HIDAYA MCHOWELE & AISHA MASIKA
 FAYE FROM UK
NOUR AZIZ
 RAHMA KARANDA MAMA MZAA CHEMA
AISHA, NOUR, ROSE & KHADIJA
AISHA, NOUR & ROSE - BEST FRIENDS FOREVER
 NOUR & FRIENDS
NAILYA
SISTERZ
KHADIJA MTEMVU & FRIEND
SUNITHA & SISTER
 
NOUR AZIZI & FAMILY
WAFANYAKAZI WENZAKE AMINA
PACHANGA & FRIENDS
BIBI KARANDA
RED CARPET
DESIGN BY KIKI's FASHION


Post a Comment

6 Comments

 1. Mashallah Amina ulipendeza sana, everything was on point from decor to food, was such an Amaizing night

  ReplyDelete
 2. Very very nice! Beautiful bride to be. Mwenyezi Mungu akutangulie mpendwa.

  ReplyDelete
 3. Bibi harusi mtarajiwa kapendeza saaana..pia gauni lake ni zuri saaaana! Waalikwa wote wame pendeza pia. Nimefurahi kuwaona watoto wa Bi. Masika, Dada Aisha na Rose maana miaka mingi sana imepita!

  ReplyDelete
 4. very classic party!

  ReplyDelete
 5. Amina ulipendeza sana pse nitafute email riphaially@yahoo.com

  ReplyDelete
 6. It was awesome...baby alipendeza sana mashaallah!!

  ReplyDelete