BRITTANI & JERED WEDDING!!!

HII NI ARUSI ILIYOFANYIKA VIRGINIA KATI YA BRITTANI & JERED, WEDDING COLOUR ZAO NI MINT GREEN & VIBRANT YELLOW, WADAU NIA YANGU YA KUPOST ARUSI KAMA HIZI ILI TUJIFUNZE MAMBO MANZURI, ZAMA NDANI UONE MIMI NIMEELEZEA LAKINI HATA WEWE MDAU UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO...!!!

 MENU:: UNATAKIWA USOME MENU KABLA YA KWENDA KWENYE CHAKULA KUJUA KIPI UNAKULA NA SIO KUJAZA SAHANI UNASHINDWA KUMALIZA
 HAPA TUNAONA NEW STYLE YA TABLE NUMBERING, KWANGU MIMI HII TABLE NUMBER NAIPENDA KAMA IKITUMIKA PIA KWENYE KUNYANYUA WATU WAKATI WA CHAKULA, BADALA YA KUWEKA WATU WA KUNYANYUA, MAANA KUNA KUJUANA ANAWAACHA WENGINE NA KUWANYANYUA ANAOWAJUA, BASI MC ANATAJA TABLE NUMBER KUNYANYUA WATU, MC ANAKUWA NA MTU MMOJA TU AMBAYE ANAWASILIANA NA MC KUANGALIA FOLENI WATU WASISIMAME SANA....!!!
GUEST BOOK ILI KUPATA KUMBUKUMBUKU YA WALIOHUDHURIA NA WISHES TOKA KWA WAALIKWA
WAKISALI....
BI ARUSI UCHANGAMKE NA KUWA TABASAMU
 MAARUSI MJIPANGE ILI MPATE MUDA WA KUTOSHA KWENYE PICHA, KWANI HII NDIO KUMBUKUMBU, CHAGUENI STYLE TOFAUTI ZA KUPIGA PICHA, MAIDS PIA MUWE WABUNIFU ILI MPATE MUONEKANO MNZURI WA PICHA...!!
KWANINI WALIVAA RUBBER? YOYOTE MWENYE JIBU TUJUZE TAFADHALI
 CAKE
 MIMI NAPENDA CAKE ZISIZOKUWA NA MADOIDO MEEENGI, SIMPLE LIKE THIS ONE
BADO SIJAPATA JIBU....!!!

Post a Comment

10 Comments

 1. Nadhani walivaa raba kwa sababu walifanyia shughuli, nje ktk majani viatuvya high heels vingekuwa vinanasa ktk udongo wakati wakutembea mtu angeweza kuanguka. Lol

  ReplyDelete
 2. Sio sababu hio kuganda viatu vya high heels WHY BI ARUSI KAVAA. Na hajaganda, ilikua ni fashion yao tu, na kitu chengine si unajua nguo za brides wenzetu wanashopiwa na maharusi may be pia viatu havikupatikana kwa wote ikaamuliwa wavae vipatikavyo wepesi on the other hand may be it was cold so it couldnt some of them to manage that weather, just my opinion.

  ReplyDelete
 3. Beautiful wedding! Walivaa viayo virefu walipo kuwa ndani, ila walipo toka out kwenye majani ndio wakabadili raba ili wawe comfortable. Wamarekani wengi hufanya hivyo kwenye harusi zao huwa wanavaa raba au tracksuit baada ya mambo ya ndoa kuisha ili wawe huru zaidi na kucheza zaidi.

  ReplyDelete
 4. Raba huvaliwa kwa ajili ya zoezi la "dance floor".

  ReplyDelete
 5. Jibu la hapo juu ni sawa

  ReplyDelete
 6. HUJAKOSEA MDAU NCHI NYINGI ZINAZOJUA MAMBO YA HARUSI YA KATIKA GARDEN , WANAVAA RABA KWABA KWANI UTAKUTA KIATU CHA GHALI KINAHARIBIKA KTK UDONGO

  ReplyDelete
 7. Very clasic, napenda harusi zenye mpangilio hivi.....Kweli tujifunze

  ReplyDelete
 8. walivaaa raba kwa ajili ya kucheza comfortably

  ReplyDelete
 9. yap mpango mzuri sana,tunatakiwa kuperuzi huku na kule ili tupate idea kwa harusi zinazotuhusu pia,badala ya kufuata ratiba tulizozizoea tuu,inaboa wakati mwingine.

  Halafu mashughuli nimekugundua nahisi we wa kusini hahahahaa maana 'vinzuri mnzuri' lol nachangamsha kijiwe tu ,hata mi kuna maneno yananitoa nishai

  ReplyDelete
 10. WALITAKA KUWA COMFORTABLE THATS ALL

  ReplyDelete