FAIZA & JAMIL AQDI!!!!

BRIDE                                   :: FAIZA
GROOM                                 :: JAMIL
EVENT                                  :: ISLAMIC AQDI
VENUE                                  :: HYATT REGENCY
COLOR                                  :: GREEN & SILVER
MAKEUP                               :: GLAMBOX
DÉCOR                                 :: PACODECOR
ENTERTAINMENT             :: MELODY LIVE BAND
MC                                          :: JAMILA KITIMTIM

YES NI SEASON 3, AQDI YA FAIZA & JAMIL, LEO SAIDA NA FAMILIA YAKE LEO WAMETULETA FIVE STAR HOTEL HYATT REGENCY, MASHALLAH FAIZA KAPENDEZA,GLAMBOX WAMEMPENDEZESHA FAIZA!!! MELODY LIVE BAND WAKITUPA RAHA NISIONGEE SANA ZAMA NDANI UNONE ZAIDI…!!!
 HAIR STYLE & MAKEUP GLAMBOX
 NDOA IKIFUNGWA MSIKITINI
JAMIL BWANA ARUSI
NDOA IKIFUNGWA....
DAUDI, BABA MZAZI WA FAIZA
DUA
BARKA ....
JAMIL AKIPEWA HONGERA BAADA YA KUFUNGA NDOA
DAUDI & MKWEWE
FAIZA AKIINGIA UKUMBINI
SAIDA AKIMPOKEA MKEWE
SOMO FADYA NA MWARI WAKE, HONGERA FADYA UMEWEZA
FAIZA AKIMSUBIRI MUME WAKE KUMPA MKONO....
JAMIL AKIMPA MKONO MKEWE FAIZA 
 
KISHA AKAMKISS KWENYE PAJI LA USO, I REALLY LIKE THIS
NEW HAPPY MARRIED COUPLE
FAIZA & HER YOUNG BROTHER IRIKAT
DECOR...///
BURUDANI
TULIKUWA NA MELODY LIVE
CHAKULA
 FAIZA AKIONDOKA NA MUME WAKE JAMIL
SAIDA ALISHINDWA KUJIZUIA
KILIO
MOTHER LOVE
NYUSO
SAIDA & WIFI YAKE
ARAFA & HER SISTER
ANKAL MASOUD & FAIZA
FADYA & MAMA ZAKE
FARES & AUNTY
MAMA NA MWANA
FAIZA, AYUYU & HERRY
FARES, ODO SAMEERA & MAARUSI
SAADA, SHARIFFA, ZAKIA, MARIAM & MAARUSI
FARES, FAIZA's BROTHER & FRIEND
SHARIFFA, JAMILA & FAIZA
FADYA FROM UK & FAIZA BFF
AYUYU & SAIDA
ZAKIA MHAVILLE, SHILLA & FRIEND
NANA & MAARUSI
MIRIAM & FAIZA
AWADH, DAUDI, KASHOGI & FRIEND
ME & SOMO
SOMO FADYA LOOKING STUNNING
NANA, MAMA YAKE JAMIL MUNIRA & FADYA
MAMA NA MWANA
NANA & FADYA
IRIKAT
NANA, FADYA & FAIZA
NURU, JOHA & ROSE
NANA KANYAU, FAIZA'S SISTER, MAKEUP BY ASILA
SAIDA MAMA MZAA CHEMA
CHUNI & MAARUSI
MARIAM MNTAMBO & SHARRIFA KAVU
NADYA & FRIENDS
MAKEUP BY ASILA
SAADA & ZAKIA
NANA & FRIEND
HELLEN & FRIEND
PENNY & HALIMA KIMWANA
ROSE, LILLY & JOSE
MAKEUP BY ASILA
ARAFA TAMBA & SHOSTITO
HALIMA & AISHA
RAHMA KISMAT & BI ZARO
HASINA MOO MUKE YA AWADH-MAKEUP BY ASILA
SALMA & FAIDA
HASINA & FRIEND
MAMA NA MWANA
JUNAITHA & MARIAM PAPI
MISHY, MARY, HALIMA & SHARIFFA
MASOUD. JOHA & NURU
LILLY-MAKEUP BY ASILA
SHILLA & FRIEND
SISTERZ, FADYA FEREJ & TANISA FEREJ
JAMILA & FRIENDS
ANKAL YAHYA
JAMILA MAMA YA FALME ZA KIARABU PENDEZA
MUNA PENDEZA EEH!!!
SHARIFFA & FATMA SIMBA
TWAHIBA & FRIEND
NADYA & HER MUM AYUYU FROM UK
BAHIYA & HAFSA
IRON LADY-ROSE & HER SISTER JOHA 
ANKAL MASOUD & FAIZA MAFISH
PENNY
SHARIFFA MADENGE-MAKEUP BY ASILA
SHARIFFA, SALAMA & JOHA
KHADIJA MWANAMBOKA & FRIEND
DALILAH JAGGAR & FRIENDS
MARIAM BEST
BORTHERS....!!! KIBABUDE
SELFIE.....
SHOSTITOS & MAARUSI
ARAFA BINT MFALME & FAIZA
NELLY & FAIZA
NELLY, FRIEND & MAARUSI
SHUMU & MAARUSI
AYUYU FROM LONDON & MAARUSI
BEAUTIFUL GIRL LOOKING STUNNING
MUNAMINDU, PENDO, & MAARUSI
NANA, JACK, TANISA & FRIENDS
JAMILA, MAMA YA FALME ZA KIARIABU & MAARUSI
MUNIRA & MAARUSI
SAIDA, DAUDI & MAARUSI
MIRIAM AZIZI & MAARUSI
JAMIL & MAMA YAKE MUNIRA
FAIZA NA MKWE WAKE MUNIRA
HASINA MOO & MAARUSI
FAIZA, JAMIL & WAZAZI WA JAMIL
JAMIL & BABA MZAZI
TANISA, PENNY & MAARUSI
IRON LADY ROSE & MAARUSI
JOHA, MARIAM, MIRIAM & HALIMA
FAIZA DIRECTOR BEUTY POINT, FADYA & FRIEND
FARHA, FADYA & FRIENDS

JOHA FROM DUBAI
BAHIYA & WANAWE
SAIDA, DESIGNER BAHIYA & MAARUSI
NANA, ANKAL YAHYA & MAARUSI
FAIZA NA MDOGO WAK IRIKAT
BIBI NA MJUKUU
BIBI NA MAARUSI
BI FAIZA NA JAMIL
NURU MWENE & FAIZA 
MISHY & JOHA SIMBA
YUSRA & MAARUSI
MISHY & FADYA
SHOSTITOS JOHA & NURU MWENE
MIRIAM. KHADIJA MWANAMBOKA & FADYA
NURU, MIRIAM, FADYA & JOHA SIMBA
SAIDA, ANKAL MASOUD & MAARUSI
FADYA, KHADIJA & FRIEND
KAMILA & FRIENDS
RED CARPETPost a Comment

17 Comments

 1. Mashaallah mungu awajaalie kila la kheri. Lovely indeed

  ReplyDelete
 2. Mashallah, talk of da town hiyo...chezea mama wa china weee utadeki bahari......mbona huweki za reception mashughuli

  ReplyDelete
 3. mashallah pendeza maharusi Awadhi na Asina moo pendeza sana!!!

  ReplyDelete
 4. HAPA NI NO COMMENT KWA KWELI HARUSI NI NZURI MNO KUPITA MAELEZO, THE ONLY THINGS I WANT TO SAY NI MOJA TU,MWENYEZI MUNGU MUNGU WA REHEMA AWAJAALIE MAHARUSI NDOA YAO IDUMU MILELE MPAKA KIFO KIWATENGANISHE.

  ReplyDelete
 5. Jamani niseme mashallah mashallah, hii arusi si mchezo wallah sijapata ona, yaani watu wote wamependeza hadi raha, make za uhakika hakuna aliechukiza jamani hongera sana Saida Kanyau na Faiza katulie kwa mumeo muishi kwa amani milele, tulia tu hakuna ndoa isiyo na misuko suko cha muhimu ni kutulia na mwanaume kama mtoto mdogo mwaya, anahitaji matunzo hongerani sana tena mno wazazi na wote mliofanikisha arusi ya Faiza na Jamil.

  ReplyDelete
 6. Ebana Dah hapana chezeyaaa Afu Mashughuli napenda ambavyo picha zako zinatoka with quality kwa hilo naomba nikupongeze munoo,shughuli ni watu na watu kweli walikuwepo nyuso mtakato kweli huku ukienda na kikwapa kunuka kinafifia maana marashi yalitawala naona..
  Ila naomba katika uandishi wa picha uwe makini basi maana picha imeeandikwa Daudi na Mkewe pale yule ni Mkwe mama.Saa zingine maelezo yapo juu picha chini mara juu chini chagua consitensty moja itro iwe juu sikuu zote au chini ya picha all the time.wengine mjini tulikuja na fuso tunabaki uliza cjui ndo huyu chini au juu

  ILA BIG UP MAMA NAPENDA PICHA ZAKO aminiiiiiaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Big up indeed! Nimekua nikipitiagapitiaga na blog nyingine lakini by far this is the best in town to me. Kama alivyosema mdau hapo juu kuwa makini na introduction pia kama inawezekana uwe unaanzia kushoto kwenda kulia tafadhali.

   Delete
 7. Hii ni talk of town haijawahi tokea hongera mama harusi mwanao umemtoa kiukweli nimetoa machozi na mie pale alipokua akiondoka na mumewe duhh pale panakuaga pagumu acheni tu unaona unaondoka nyumbani unawaacha wazazi ndio yule kwa mume

  ReplyDelete
 8. Ni kweli kabisa tangu maghughuli ianze hatujawahi ona harusi kama hii loo tumia fedha ikuzoee ndio hii harusi bwana Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema awajalie kila la khere, awaepushe na husda, shari na fitina za walimwengu mdumu daima na kizazi chenu kiwe cha kheri na kifo kiwatenganishe sio husda za walingu inshaallah awataqabalie.

  ReplyDelete
 9. Masha Allah harusi babu kubwa hongereni maharusi Allah awajaalie iwe ndoa yenye masikilizano ma mapenzi daima ... mashughuli tuwekee na kideo basi

  ReplyDelete
 10. Yaani jamani hakuna mjadala walla nini kazi imefanyika ipasavyo tena kikamilifu mashaallah mungu awape mapenzi na maelewanmilele saida mdogo wangu hongera sanaaaaaaaa mara milioni

  ReplyDelete
 11. lini reception na veil au ndo hapo the end! hakuna mambo ya vail nasubiria

  ReplyDelete
 12. tunaomba utuwekee picha za reception
  Masha Allah maharusi wamependeza Allah awajaalie waishi pamoja milele Ameen
  From Zanzibar

  ReplyDelete
 13. Yani sina msemo ila big up mashughuli kwa kutuletea mambo adimu kama haya sisi washamba tunasafisha macho!!maana vitu adimu hivi kwetu!!

  ReplyDelete
 14. kwakweli ilibamba.people look gorgeous.

  ReplyDelete