FAIZA & JAMIL RECEPTION WEDDING!!!!!

BRIDE                                   :: FAIZA
GROOM                                 :: JAMIL
EVENT                                  :: WEDDING RECEPTION
VENUE                                  :: GOLDEN JUBILEE TOWER
COLOR                                  :: BLACK & WHITE
MAKEUP                               :: GLAMBOX
DÉCOR                                 :: VALLEY SPRING
ENTERTAINMENT             :: 
MC                                          :: JB
CATERER                            :: BARBEQUE VILLAGE
YES NI SEASON-4 KATI YA ZILE TATU ZILIZOPITA NA KUWA GUMZO, SASA HII NI GUMZOX3, SHUGHULI YAO YA  MWISHO NA BI ARUSI KAPENDEZA KAMA KAWAIDA, NIKIONGELEA PROGRAMM NZIMA YA SHUGHULI NILIIPENDA SANA KWANI HAPA KULIKUWA HAKUNA VITU VILE TUMEZOEYA KUVIKUTA KATIKA KILA SHUGHULI, PIA WAALIKWA WALIFUATA DRESS CODE YA SHUGHULI, WATU WALITOKELEZA SANA, KAMA KAWAIDA CHAKULA FROM BARBEQUE VILLAGE MSASANI NA LIVE BAND YA MUZIKI WA DANSI...WADAU SITAKI KUYAMALIZA ZAMA USIHADITHIWE....WANAONIFOLLOW INSTAGRAM NA FACEBOOK MAMBO HAYA WANAONJA LIVE FOLLOW ME INSTAGRAM:: "MASHUGHULIBLOG"

NA UTURI UNACHANGIA
MC-JB
MAARUSI WAKIINGIA
WALIANZA KUINGIA ANGELS, WAKISINDIKIZWA NA MAIDS, NYUMA KABISA NI WAZAZI
HAPA NI MAARUSI WAKIINGIA, FAIZA MASHALLA, MASHALLAH UMEPENDEZA SANA!!!
UMEONA MKIA...!!! VELI NI MKIA BANA
INTRO......////
 WAKIVISHANA PETE
DECOR...///
 
INVITATION CARD
CAKE
BURUDANI
FAIZA & JAMIL WAKIFUNGUA MZIKI
KILA MUNU NA VYAKE
CHAKULA
NYUSO
NANA KANYAU
RIO PAUL- DESIGNER
MR & MRS KANYAU, PENDEZA SANA, BEST COUPLE
SELFIE....
MIRIAM AZIZ
NADYA & FADYA

SALMA MNTAMBO INJINI YA JIJI, PENDEZA SAAAANA...!!!
MAMA NA MWANA
AWADH & FATMA HASSANO
SHARIFFA & MARIAM
DAD's DAUGHTER
SALMA & HUBBY
MC JAMILA KITMTIM
MAMA YA DUBAI MUZNE NA BINT YAKE
HASINA & HUBBY, AWADH
SHARIFFA & HUBBY, MOODY MADENGE
MISHY. FRIEND & ROSE WANAMUITA IRON LADY
SISTERZ
TANT BOY & HUBBY
FAIZA & IRIKAT
SHARIFFA HASHIM & SALAMA KINGUI
AYUYU
SHARIFFA KAVU
PENDO & CHUNI
FAIZA MAFISH & MASOUD PICADILLY
MARIAM MNTAMBO
KITENGE & FRIEND
NADYA, FADYA & NELLY
KHADIJA MWANAMBOKA DESIGNER & FRIENDS
NELLY & FRIENDS
CHICHI, FRIEND & MARY
ANGEL TARIMO & FRIENDS
BIBI, SHANGAZI & FRIEND
HASINA MOO
DIDA & MAARUSI
SHAMSA & MAARUSI
SELFIE......!!!!
FAIZA, FAIZA & FADYA
AWADH, HASINA & FAIZA
BEST FRIEND FORVERE TANISA & FAIZA
FAIZA, FAIZA & TANISA
FAIZA, DAD & MUM-MASHALLAH!!
FARES & FRIEND
KIBABUDE & MAARUSI
BAHIYA DESIGNER & MAARUSI
SHUMU & MAARUSI
FIDQ & MAARUSI
FAIZA, IRIKAT & NANA
MAMA NA MWANA
SISTERZ FORVERE!!! NG'ARING'ARI
KISS TO MUM...!!!!
SOMO FADYA & JAMIL
FAIZA & SAIDA PENDEZA SANA MASHALLAH!!
JACKY & FAIZA
TWAIBA, SAIDA & MAARUSI
ARAFA-BINT MFALME & MAARUSI
DAUDI, FAIZA's DAD & FRIEND
NELLY KIWELU FORMER MISS TOURISM & MAARUSI
TANISA FEREJ & NADYA
JOHA FROM DUBAI & FRIENDS
ARAFA LODI & FRIENDS
SELFIE.......
BEST FRIEND NADYA FROM UK & MAARUSI
NANA & ODO YAKE
NANA, FADYA & NADYA FROM UK
NANA & FADYA
NADYA, FADYA & SWEET BABY
DALILA JAGGAR & FRIEND
MARY, SHARIFFA & IRENE
ROSE-IRON LADY, MISHY & FRIEND
MAMA NA MWANA
FAIZA & FRIEND
NURU MWENE & FATMA ADAM - SISTERZ
TWAHIBA, HAFSA & FRIEND
ROSE MBAGA & FRIEND
ARAFA TAMBA & FRIENDS
JOHA KABOTOKA & FRIEND
ZAKIA & SAADA
KHADIJA & FRIEND
CHICHI & FRIEND
MIRIAM MUKE YA KAPTENI & MAARUSI
ZAKIA, SAADA, MARIAM & SHARIFFA
FAIZA & MAMKWE MUNIRA
ANKAL ABUU & FAIZA
PENDO & MAARUSI
HABIBA & MAARUSI
KASHOGY & MAARUSI
ANKAL YAHYA CATERER & MAARUSI
CHUNI & MAARUSI
SAIDA & BINTI YAKE NANA
NADYA, MAMA & MAARUSI
AYUYU, NADIA's MOTHER & JAMIL
SALMA MNTAMBO & DAUDI
FAIZA & RIO THE STYLE DESIGNER
MASHOSTITOS
MZEE KISMAT & MKEWE
MAMA NA MWANA
IMU, KEI & CATERER FAIDA
BLUE CARPET
GROOMSMEN WEARING RIO PAUL DESIGN
THE END
KINYANG'ANYIRO CHA KUOLEWA
KAHABATIKA BINTI
BYEEEEEE
Post a Comment

19 Comments

 1. mashalaaaa harusi ilipendeza sana bibi harusi mzuri sana mbna hii hakukua na zawadi wazazi wa bwana harusi hawakutoa zawadi?

  ReplyDelete
 2. Jamani mashallah, mtu ukipita hapa bila kusema mashallah unakosea kabisa. Hongerani sana wazazi mliofanikisha shughuli ya binti yenu na hongerani sana maarusi mungu awaondishee jicho la husda Amin. Hongera zimetoka Oslo Norway mdau mkubwa wa mashughuli blog, hongera sana dada Helen.

  ReplyDelete
 3. hongera mama kanyau, harusi hii funika bovuuuuuuu tishaaaaa sana shikamoo pesaaaa

  ReplyDelete
 4. imependeza sana

  ReplyDelete
 5. Masha ALLAH Maharusi wamependeza sana na waalikwa wote
  Mungu awajaalie ndoa yenu idumu daima dawamu na muwe na masikilizano
  mzae watoto wenye kheri na nyie
  Nampa hongera aliyeplan hii shughuli kuanzia Engagement hadi Reception Well done
  kwa kifupi nice couple and kila la kheri in ur new life
  From Zanzibar

  ReplyDelete
 6. Nzuri kwa kwwli napitisha macho kila wakati macho yangu yasuuzike

  ReplyDelete
 7. Harusi nzuri sana Mashaallah,Maharusi na Waalikwa wote pendeza kwa sanaa, Hongera sana Hellen kwa picture nzuri sana, ila wazazi wa Jamil hawakuonekana kabisa labda picture moja tu ndio nimemuona Munira Mama yake Jamil na Maharusi, Maharusi lindeni ndoa yenu inshaa'allah mzaa mpk mjukuu Amin

  ReplyDelete
 8. MashAllah, maharusi wamependeza sana na waalikwa wote wamependeza sana. Nawatakia kheri katika maisha yenu ya ndoa. Nice couple MashAllah. Hongera zimetoka Copenhagen Denmark, mdau mkubwa wa Mashughuli blog.

  ReplyDelete
 9. Shughuli nzuri sana mwanzo mwisho maarusi pamoja na waalikwa wamependeza ilaupande wa mume walikua nyuma sana au kosa lako mashughuli kutokuwataja

  ReplyDelete
 10. Mashallah, Allah aifanye harusi hii iwe na furaha daima, awajaalie Vizazi vyema vyenye kushika maadili ya dini, awaondoshee hasada za binaadamu an vijicho vya masheitwan. Ameen! Harusi ni Jambo la Kheri. Hongera sana Maharusi na Familia nzima kwa ujumla harusi ilipendekeza mno.

  from: SAM - Kariakoo

  ReplyDelete
 11. Shikamooo pesa,shikamoo wedding planner nmeipenda hadi chozi limenitoka.hilo shela lapatikana wapi soon ntakuwa married.nalipata wap miye.linakodishwa au ni la faiza? Dada Helen nsaidie. Kiukweli harusi imetisha watu wametisha. Shikamoo kanyau family.Mungu ibariki ndoa hii idumu waepushe na fitna za walimwengu.

  ReplyDelete
 12. Mbona hatujamwona mama wa Bwana harusi

  ReplyDelete
 13. nice pesa inaongea hapoooo.

  ReplyDelete
 14. MASHAALLAH!!!!!! SHIKAMOO KILELE HESHIMA PESA TUNAWAOMBEA KILA LA KHERI KATIKA NDOA YENU IWE YA BARKA UKAWE MKE MWEMA NA PIA UKAWE MUME MWEMA IN SHAA ALLAH

  ReplyDelete
 15. ILIPENDEZA SANA ILA MAMA FAIZA ALISAHAU KUFAA CHENI LAKINI PENDEZA SANA

  ReplyDelete
 16. nzuri kweli maashallah

  ReplyDelete
 17. UKIVAA HELENI NDEFU HAINA HAJA YA CHENI

  ReplyDelete