FAIZA's ARABIAN NIGHT!!!!

BRIDE                                   :: FAIZA DAUDI KANYAU
EVENT                                  :: SINGO
THEME                                  :: ARABIAN
VENUE                                  :: MSASANI TOWER
COLOR                                  :: LIGHT BLUE, RED, GOLD & GREEN
MAKEUP                               :: GLAMBOX WEDDING
DESIGNER                           :: FRM - DUBAI
DÉCOR                                 :: PICADILLY
CATERER                            :: BARBERQUE VILLAGE
DRINKS                                :: PACO DROPS DRINKS
MC                                         :: JAMILA KITIMTIM
FAIZA's ARABIAN NIGHT (SINGO), HAPA NI "WHEN WE SAY WE MEAN IT" KILA KITU KILIENDANA NA THEME YA SHUGHULI, FAIZA DAUDI KANYAU NI BINTI WA KWANZA WA SAIDA & DAUDI, FAIZA ALIPENDEZA KUANZIA CHINI MPAKA JUU, SAIDA & DAUDI SHIKAMOO!!! MAKEUP YAKE DONE BY GLAMBOX-WEDDING, KAZI YAKE MADAME NAMFUE WAS SUPER, NI ARUSI YA KWANZA BI ARUSI ALIYEPATA SET ZA MADINI NYINGI KATIKA SHUGHULI ZAKE 2 TU, KAPATA SET ZA UKWEE'E MADINI 5, UKIJA KWENYE CHAKULA WAALIKWA WAMEKULA MENU ILIYOKWENDA TBS!!! MAMBO NI MENGI NA MANZURI WADAU PLEASE ZAMA NDANI...!!! HII NI SHUGHULI YA KWANZA KATIKA SHUGHULI FOLLOW ME ON "MASHUGHULIBLOG" INSTAGRAM UPATE PAPO HAPO YAJAYO!! STAY TUNED FOR BRIDAL SHOWER!!!
MASHALLAH!!!
BEAUTIFUL MAKEUP FROM GLAMBOXWEDDING!!!
GORGEOUS FAIZA MASHALLAH!! 
NA UTURI NAO WACHANGIA BANA...!!!
SWAGGA ZA UKWEE'E
HII NI MUSK YA KWANZA KUVALIWA BONGO!!! SAIDA UKO JUUU!!! UMETISHA NA HUU NDIO MWANZO TU!!!
DESIGNER WA NGUO HII YUKO DUBAI....!!!! USIMAMIZI WAKE MAMA YA DUBAI MUZNE
UMEONA BELT
 FAIZA NA SOMO YAKE FADYA FEREJ
NIMEMPENDA SOMO NA MWARI WAMEENDANI...!!!
 
  SOMO FADYA UMETISHA...!!
FAIZA & SWEET MAMA SAIDA KANYAU
 FAIZA, NANA (SISTER) & MAMA...!!! 
 SAIDA KANYAU, MAMA YAKE FAIZA
MC-JAMILA KITIMTIM
FAIZA AKIINGIA UKUMBINI....!!!
SAIDA AKAMPOKEA BINT YAKE
SAIDA KANYAU MAMA MZAZI WA BI ARUSI FAIZA AKIINGIA UKUMBINI...!!! PAMBE EEH!!
SAIDA AKIINGIA HUKU AKISINDIKIZWA
FAIZA MAFISH AKIMUINGIZA MAMA LIVE...!!! 
BIBI YAKE FAIZA WAJINA WAKE ALIFUNGUA SHUGHULI NA DUA
 MAMA WA BI ARUSI, SAIDA AKIKARIBISHA WAGENI
VIKUBA
UKIINGIA TU UNAPEWA VIKUBA
DECOR BY PICADILLY 
WHEN WE SAY ARABIC WE MEAN IT!!!!
BURUDANI
GUSAGUSA MIN BAND NA KIBAO KATA 
GUSAGUSA MIN BAND LIVE
BAHIYA DESIGNER AKICHEZA...
ABDUL MISAMBANO AKITUNZA 
KWENYE KIBAO KATA TULIPEWA VYA KUFUNGA SPECIAL UMEMUONA NADYA
TANISA BEST FRIEND WAKE FAIZA NIMEKUONA SOMO YAKO NANI?
LEO NI LEO MPAKA MUNAMINDU
SOMO AKILETA NDUNDU
SHIKAMOO SOMO...!!
 NDUNDU IKIPOKELEWA
 WAZAZI BAADA YA KUPOKEA NDUNDU WAKACHEZA MSANJA
 
  SOMO AKIMVISHA MWARI WAKE MADINI-CHENI WHITE GOLD YENYE TANZANITE STONE NA HERENI ZAKE....!!!!, SOMO ASIYE NA MAKOROKORO!!
 SI MCHEZO TAZAA KWA KARIBU
UMEONA EEHH!!
SOMO AKIFUTWA JASHO
TATU LUMELEZI AKIMKOSHA SOMO
SITTU MWASU AKIMKOSHA SOMO
SHARIFFA KAVU AKIMWAGA MAHELA KWA FADYA..!!
 CHAKULA
CATERER ALIKUWA NI BARBEQUE VILLAGE MSOSI WA UKWEE'E
NYUSO
ASILA (ASILA BRIDAL PACKAGE)
MISHY, DEVOTA, JACK, ANGEL & FRIENDS
FAIZA NA BIBI YAKE, WAJINA WA JINA LAKE & SOMO
TANISA FEREJ
SHARIFFA KAVU & MADENGE, JAMILA
WATOTO YA MUJINI
SITTU MWASI & TANT BOY
NURU MWENE, FATUMA,BIJOHA & HASINA
FAIZA & SHOSTITOS WAKE
DALILA JAGGAR
LILIAN, SHEILA & FRIEND
HASINA & SHUMU
 LILIAN KARAMUNA & FRIEND
 MAMA YA DUBAI MUZNE & MH. HANIA
 MUZNE & SAIDA

SHAMSA & SAIDA
FAIZA & NADYA FROM UK & TANISA
SOMO NA MWARI, WAMEPENDEZAJE, MAANA WANAENDANA...!!
HABIBA , FADYA & FAIZA
SARAH RAQEY, FAIZA & FADYA ISAC
JAMILA, SHARIFFA MADENGE & SHARIFFA KAVU
FAIZA, NURAT & NANA
MWANAID, FAIZA & FRIEND
NANA, FAIZA, MAMA & NURAT
HABIBA SURE, FAIZA & FRIENDS
SAMIRA, DORA & FAIZA
JOHA SIMBA, BAHIYA & FAIZA
MAMA YA DUBAI NA WATOTO
IRON LADY (ROSE), DIVA DEVOTA & FAIZA
FAUZIA BENBELA & HER DAUGHTER RAHMA & FAIZA  
FAIZA & HER SISTERS FROM DUBAI
TATU, MARIAM & FRIEND
AISHA & BAHI
ZAKIA & SAADA
TABU & SHOSTI
AISHA & MARIAM
NANA & PACO DECO
HASINA & FAIZA
MARIAM BEST & FRIEND
FADYA ISAC & KHADIJA MWANAMBOKA
HABIBA SURE & FRIEND
PENDO & MUNAMINDU
JUNAITHA & FAIZA
SHAMSA HASSANO & FRIEND
BI SAIDA & JOHA SIMBA
PENDO & FADYA
HASINA MOO, MUKE YA AWADH
SHARIFFA KAVU
JUNAITHA, MARIMA & FRIEND
JOHA KABOTOKA & FRIEND
RED CARPET
HAPANA CHEZEYA MUZNE PRADA ORIGINAL MAMA YA DUBAI
 
 
KWA KARIBU ZAIDIIIII....
SIE HAO NA MAMA YA DUBAI TWATAKA NUKIA.....!!!!
Post a Comment

7 Comments

 1. mmmh!!!! haya bwana, to me speechless.

  ReplyDelete
 2. Masha3llah masha3llah.....May Allah protect them from the evil eye

  ReplyDelete
 3. Mahsallah hii shughuli si mchezo imekwenda shule kabisa, hongerani jamani. Mashallah watu wamependeza mbayaa, bi harusi usiseme jamani.

  ReplyDelete
 4. ni hatwariiiiiiiiiiiii nasubr picha za kp yake maana hizo zawadi ni nomaaa

  ReplyDelete
 5. mashaalllah, shughuli pambe na imekwenda shule, hongera saida china mungu akuzidishie, biharusi mtarajiwa pendeza sana

  ReplyDelete
 6. nguo ya dada mary nimeipenda nitaipata duka gani nadhani anaitwa mary yule alimpokea mwanae air port alipoteaga ulayaaaaaaa plse kapendeza na nguo yake

  ReplyDelete
 7. ya allah this is beautiful..am shedding tears. i want to attend a TZ wedding somebody pleaaseee invite me hahahah

  ReplyDelete