FAIZA's BRIDAL SHOWER!!!!

BRIDE                                   :: FAIZA DAUDI KANYAU
EVENT                                  :: BRIDAL SHOWER
THEME                                  :: GREEN, PINK & GOLD
VENUE                                  :: MLIMANI CITY
COLOR                                  :: GREEN, PINK & GOLD
MAKEUP                               :: GLAMBOX WEDDING
DESIGNER                           :: BAHIYA & INDIA
DÉCOR                                 :: PACODECOR
CATERER                            :: LUNCH-FAIDA, DINNER - BARBERQUE VILLAGE
DRINKS                                :: PACO DROPS DRINKS
ENTERTAINMENT             :: MASHAUZI CLASSIC BAND LIVE
MC                                          :: JAMILA KITIMTIM
YES!!! SASA TUNAINGIA SHUGHULI YAKE YA PILI, BAADA YA KUONA MAKALI YA SINGO AMBAYO NI HABARI YA MUJINI, KIUKWELI HATA HII IMEFUNIKA KUPITA MAELEZO, UKIANZA NA BI ARUSI YEYE KAPENDEZA SANA, KUANZIA NGUO, MAKEUP  YAKE NA HAIRSTYLE BY GLAMBOX IMETULIA, HII ILIKUWA NI LUNCH TULIANZA KULA MCHANA NA USIKU TUKAPEWA DINNER TULILISHWA NA CATERER WAKUBWA JIJINI, DECORATION BY PACO DECOR KAMA KAWAIDA YEYE HAKOSEI, NGUO YA MAMA WA BI ARUSI SAIDA, SOMO FADYA NA DADA YAKE NANA DESIGN BY EVECOLLECTION, FAIZA ALIPATA SET ZA DHAHABU NNE (4) ZA UKWEE'E, HAPA SIJAWEKA ZAWADI PICHA ZINAKUJA SHUGHULI SI NDOGO, MAMA MZAZI ALIINGIA NA MASANDUKU NANE YA BINTI YAKE NA MKWEWE, NASIKIA WATOTO WA MJINI WAMEFANANISHA NA SERIES ZA TV KWA HIYO HAPA NI SEASON-2, WANAONIFOLLOW INSTAGRAM NA FACEBOOK MAMBO HAYA WANAONJA LIVE FOLLOW ME INSTAGRAM:: "MASHUGHULIBLOG"

FAIZA WAS VERY SIMPLE BUT EXPENSIVE, MASHALLAH
SOMO KAYAWEZA SANA TU......!!!
FAIZA NA SOMO YAKE FADYA, SOMO WA UKWEE'E GUMZO JIJINI
SAIDA MAMA MZAZI WA FAIZA
MAMA NA MWANA
SAIDA NA WATOTO WAKE FAIZA & NANA
FAIZA AKIINGIA UKUMBINI
MAMA MZAZI SAIDA, SOMO FADYA WAKIMUINGIZA FAIZA

DECOR....///
BIBI YAKE FAIZA, WAJINA AKIFUNGUA SHUGHULI KWA DUA
BURUDANI
MASHUAZI CLASSIC WAKITOA LIVE BURUDANI, MAMBO PAMBE SHURTI KWA SARE
ISHA MASHAUZI AKITUMBUIZA
UKO JUU MUZNE, UNATUNZAJE...
ABDUL MISAMBANO AKITUNZWA
FAIZA AKIFURAHIA SIKU YAKE
HAPANA CHEZEYA SHARIFA, KAGUSWA MPAKA DOLLAR IMEMTOKA
CHAKULA
BUFFER SELF SERVICE
 NYUSO
FAIZA & HER SWEET MAMA
NURU MWENE, JAMILA MAMA YA DUBAI & FADYA
BIBI YAKE FAIZA & RAFIKI
MAMA NA MWANA

NANA KANYUA DADA WA BI ARUSI FAIZA
SAIDA & MTOTO WAKE NANA
FAIZA & BINTI MFALME
MH. HANIA & KHADIJA
FAUZIA BENBELA  & ASYIA IDAROUS DESIGNER
FADYA, NANA & FAIZA
MARIAM TWAHIR, BI ZARO, RAHMA KISMAT & LILLY
NANA, FADYA, EVECOLLECTION & SAIDA
FAIZA & AUNT YAKE MUZNE MAMA YA DUBAI
FAIZA, ZULEKHA LODI & DAUGHTERS
DIVA-DEVOTA, NAMFUE, FADYA & SHAMSA
YUSRA & FAIZA
FADYA, FAIZA & YUSRA
IRON LADY WA UKWEE'E & FAIZA
FAIZA & TWAIBA, MAMA YA MATELEPHONE
PENDO, NAMFUE, FRIEND, MUNMINDU, FAIZA & TANISA
ROSE, IRON LADY, JUNAITHA & FRIEND
BEAUTIES!!!
SHAMSA & FAIZA
FAIZA & HER MAKUARTIST GLAM MADAM (NAMFUE)
ME & MY DADA BI LILLY FROM UK
BABUALLY (SHEMEJI) ANKAL ABUU & FAIZA
FAIZA & FARHA
REHEMA & FAIZA
YUSRA & FAIZA
FAIZA & MUNIRA ( MAMA MKWE)
FADYA SOMO WA UKWEE'E & FAMILY
NANA, NADYA & FAIZA
JOHA FROM DUBAI & FAIZA - BEST FRIEND
NADYA FROM UK, & FAIZA
NANA & FAIZA
TANISA FEREJ & FAIZA KANYUA-BFF
BAHIYA, FAIZA, & JOHA FROM DUBAI
BEST FRIEND FOREVER!!!! UTANUNAJE!!!
KARAMUNA LADIES!!
MARIAM & FRIEND
LILIAN KARAMUNA, ANNA MASHOSTI UTAKOMAJE SASA
ABUU & BABUALLY
JOHA KABOTOKA & FRIENDS
FARHA & FRIEND
MY FRIENDS
MH. HANIA & KHADIJA
YUSRA & FRIEND
MUNIRA (KATI) & FAMILY
KITENGE SIMBA & KHADIJA MWANAMBOKA DESIGNER
MIRIAM JOGGY, MUKE YA KAPTEN PENDEZA SANA
JAMILA MC & FRIENDS
ARAFA MUKE YA DK. TAMBA & FRIEND
LILLY & HER DAUGHTER REHEMA
RAHMA KISMAT, ROSE MBAGA & FRIEND
SHAMSO HASSANO & FRIEND
RAHMA KISMAT & FRIEND
MAMA TANT
BI ZARO & SHOSTITO
MAMA MZAA CHEMA SAIDA KANYAU
TANT BOY
TANT BOY & SITTU MWASU
NURU MWENE, FATUMA ADAM & FAMILIA
HAPPY BAGHDELLA, MARIAM & MWANAIDI POSI

HABIBA & FRIENDS
SAIDA, LILIAN, ANNA & LILIAN SISTER
SAIDA & FRIENDS
SAADA & ZAKIA (SHOSTITO WA UKWEE'E)
SHARIFFA KAVU & SHOSTITO
SHARIFFA & FRIEND
SHARIFFA MADENGE & MKWEWE
NANA
DIDA & FRIEND
RAHMA TALL (HELLEN)
RAHMA & FRIEND
YAHYA CATERER & FRIENDS 
ASILA & RAHMA
MARY & HALIMA KAMUSI (DIRECTOR OF HK's COLLECTIONS)
ASILA ( DIRECTOR OF ASILA BRIDAL)
ANGEL & FRIENDS
NAMFUE (DIRECTOR OF GLAMBOX WEDDING) MISHY & FRIEND
MWANABIBI. BI LILLY & DIANA
SARAH RAQEY, JACK MAFURU & FRIEND
SHARIFFA OSMAN
AISHA (MY WII) & FRIENDS
MARIAM PAPI, JUNAITHA, MARY & SHUU
BIBIE LUMELEZI & BINTI WAKE
DIDA & FRIENDS
MISHY - DIRECTOR OF VIRGO THE BEST BOUTIQUE IN TOWN
ISHA MASHAUZI & FAN WAKE
NURU MWENE & FRIENDS
NANA & SAIDA
FAIZA & MARIAM
FAIZA (DIRECTOR OF BEAUTY POINT) & BI ARUSI
FADYA & HER SWEET MAMA & FAIZA
FAIZA, FADYA & FAUZI
FADYA, FAIZA & MARIAM FROM DUBAI
CHUNI, FAIZA & YUSRA
RED CARPET
NGUO YA FADYA DESIGN BY BAHIYA, IKASHONWA INDIA, BAHIYA ALICHORA MCHORO WA NGUO NA IKAPELEKWA INDIA KUSHONWA

NGUO YA SAIDA NA NANA DESIGN BY EVECOLLECTION
NGUO YS SOMO FADYA DESIGN BY EVECOLLETION

HELLEN-DESIGN BY JOHA SIMBA
NURU MWENE DESIGNER JOHA SIMBA
NGUO YANGU NA NURU MWENE DESIGNER JOHA SIMBA
 
MIRIAM AZIZI NGUO DESIGN BY ROZELLA
DESIGNER EVECOLLECTION
 
NGUO YANGU YA PILI, SARE, DESIGN BY JOHA SIMBA

JAMILA MAMA YA DUBAI & FRIENDS


Post a Comment

6 Comments

 1. Hii ni mashallah mashallah si mchezo

  ReplyDelete
 2. eve did justice to her n somo yake i love da dresses,cz i saw something different from eve n classic indeed,beautiful mashallah n makeup as usually glam madam on point

  ReplyDelete
 3. mmmmmmmmmmmmmmmhhhhh aaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh, kila la kheri bi harus. ndoa yko idumu miaka 200 mana ni gumoz la jiji ukawe mfano bora kwa mumeo.

  ReplyDelete
 4. mashughuli weka na kideo

  ReplyDelete
 5. Hii ndio furaha ya mwamandamu siku za maisha yake .Furahi shiriki na watu vizuri usihofu manenao yapo siku zote na hayakwishi.Muhimu kwa binti na Mumewe tafuteni mahali mjenge maisha yenu mkiwa kwenu.Na ili kufanikiwa epukeni mambo ya mjini ni sumu ya mafanikio siku zote.

  ReplyDelete