FATIMA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                                   :: FATIMA RAMDHANI KAMBIY
EVENT                                  :: KITCHEN PARTY
VENUE                                  :: WATER FRONT
COLOR                                  :: BROWN, BABY PINK, PURPLE & ORANGE
MAKEUP                               :: GLAMBOX
DESIGNER                           :: DORIS FASHION & RASHID DESIGNER
DÉCOR                                 :: CAPRICON PARTY HOUSE
CAKE                                     :: E. CAKES
YAP NI KITCHEN PARTY Y YA FATIMA, BINTI MREMBO, FATIMA KACHANGAMKA KWANI SIKU YAKE KAIFURAHIA, MAKEUP YAKE BU GLAMBOX NA DESIGNER DORIS FASHION NA DESIGNER RASHIDI WAKAMPENDEZESHA, FATIMA KAPATA ZAWADI ZIMEIKAMILISHAMA NYUMBA YAKE MPYA, MC JOJO NA MASHAUZI CLASSIC WAKIICHANGAMSHA SHUGHULI

 
MC JOJO-MASHAUZI FAMILY
MC JOJO MIE NUMUITA SUUTI YA SIMBA....
 FATIMA AKIINGIA UKUMBINI
 SHURTI KWA UNGO
MAMA MZAZI WA FATIMA AKIKARIBISHA WAGENI
INTRO......
  DECOR..///
 ZAWADI

 
CAKE
WAKILISHANA KEKI NA MAMA
CHEERS WITH MUM..
MCHUMBA AKIINGIA UKUMBINI NA PAMBE YAKE TASHITITI KIBAO
 BWANA ARUSI PAMBE SHURTI KWA SARE....!!! NA WAPAMBE
 WAKACHEZA MZIKI....
 FATIMA AKIMPA MCHUMBA WAKE ZAWAZI YA SAA YA UKWEE'E
BUSU LA ASANTE
BAADA YA KUMKARIBISHA MCHUMBA WAKE FATIMA AKABADILI NGUO
 
 BURUDANI
LIVE BAND MASHAUZI CLASSIC
 
ISHA MASHAUZI PIGA KAZI...!!! HAKUNA KULALA
ZAWADI
FATIMA ALIANZA KUMTUNZA BIBI YAKE
BIBI AKIMTUNZA MWANAYE
MAMA AKITUNZWA
FATIMA AKIPEWA DINNING TABLE
MAMA MZAZI AKIFUTWA JASHO...
MAMA MZAZI AKIENDA KUMPA BINTI YAKE KIPENZI BEDOROOM SET YA UKWELI, HAPANA CHEZEYA MZAZI
 
MAMA ALIANZA KUMPA KABATI YA NGUO
MAMA AKIMPA PICHA NZURI YA QURAN TUKUF
MAMA AKIMKABIDHI KITANDA
MAMA NA MWANA
FATIMA AKIMPA MAMA ZAWADI NA KUMSHUKURU
FATIMA AKIMPA MAMA ZAWADI NA KUMSHUKURU
FATIMA ALIMSOMEA MAMA YAKE MANENO YA KUMSHUKURU NA KUMUOMBEA DUA KWA MANZURI YOTE AMBAYO HATOWEZA KUMLIPA KAMWE
FATIMA ALIZIDI KUMLIZA MAMA YAKE KWA KUMPA PICHA YENYE MANENO MATAMU
FATIMA AKIKABIDHIWA SOFA
KISHA FATIMA AKAMTUNZA 
FATIMA AKIKABIDHIWA COFFEE TABLE YA UKWEE'E
FATIMA AKIWATUNZA.....!!!
MAMA MZAZI WA FATIMA AKIKOSHWA
MAMA NA FATIMA WAKITUNZWA

GAS COOKER BIBIE UENDE MPIKIA MUME
FATIMA AKIKABIDHIWA NA KABATI NA VYOMBO VYAKE
MSWALA MUHIMU
CHAKULA
FATIMA NA MCHUMBA WAKILA CHAKULA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
MAMA YAKE FATIMA NA KIVAZI CHA PILI
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

  1. Mashallah harusi iwe ya kheri. Shughuli ilikuwa pambe sana. Big up Mashughuli.

    ReplyDelete
  2. MashaaALLAH shughuli nzuri, InshaaALLAH Iwe ndoa ya kheir. Amiin.

    ReplyDelete
  3. MashaaALLAH shughuli nzuri, InshaaALLAH Iwe ndoa ya kheir. Amiin.

    ReplyDelete