JAVET WEDDING ACCESSORIES!!!

NAWATAMBULISHA KWENU KIJUWE KIPYA, JAVET WEDDING ACCESSORIES, NI MABINGWA WENYE UZOEFU WA MUDA MREFU, WANA VITU UNIQUE NA QUALITY KWA AJILI YA ARUSI ZETU, WAKATI UNATAFAKARI KUHUSU ARUSI YAKO IWE GUMZO LA JIJI WATEMBELEE JAVET WEDDING ACCESSORIES, BEI ZAO NI ZA KAWAIDA, HAWATAKUANGUSHA BALI UTAFURAHI
WANAPATIKANA:: SINZA MORI OPPOSITE NA BIG BON PETROL STATION
MAWASILIANO:: +255 715 267 277 / 0754578445
ZAMA NDANI UONE KAZI ZAO ZAIDI

KADI ZA MIALIKO AINA MBALIMBALI KWA RANGI TOFAUTI

 SOUVENIRS 
NI RAHA UKIWAPA WAALIKWA KUMBUKUMBU YA SHUGHULI YAKO HAPA JAVET WANAVITU MBALIMBALI KWA BEI POA
 KEY HOLDER ZENYE MAJINA NA PICHA 
WANAPRINT KALAMU NA VITAMBA VYENYE UJEMBE AU JINA UTAKALO
 HII NI SET UNAPATA NA GUEST BOOK
VIKAPU VYA KUBEBA MAIDS AU WATOTO WA MBELE VINAPATIKA JAVET KWA BEI POA
ACCESSORIES ZA WANAWAKE ZA UKWEE'E ZINAPATIKANA JAVET

Post a Comment

4 Comments

  1. DAR NIMEVIPENDA BURE

    ReplyDelete
  2. andika bei ili kama mtu anataka ajue

    ReplyDelete
  3. Duu noma sana wekeni bei ili nikija nijiandae kabisa

    ReplyDelete