JUMA's BAG PARTY!!!

YES NI SOMO ZAKIA MABOBISHI MTOTO WA JANGWANI AMFANYIA BAG PARTY JUMA, ZAKIA NI SOMO WA JUMA, KAMA VILE NINAVYOKUAMBIA SINGO SI KWA MWANAMKE HATA MWANAUME ANASINGWA KABLA YA KUOA, HAPANA CHEZEA FRIENDS OF JANGWANI WAMEMWAGA PESA KUMTUNZA SHOSTITO ZAKIA, SWAGGA NI NAIJA STYLE...!!!

BWANA ARUSI AKIINGIA
 SOMO ZAKIA NA PAMBE YAKE WAKIMUINGIZA BWANA ARUSI
MC JAMILA KITMTIM
DECOR....////
 ZAWADI
JUMA AKIFICHULIWA
INTRO...///
CAKE
 CHAMPAGNE
ZAWADI
 SOMO ZAKIA NA KAMPANI YAKE YA FRIENDS OF JANGWANI WAKIPELEKA SANDUKU NA KUTOA ZAWADI YA SOMO
 
SANDUKU HILO LA UKWEE'E LENYE SWAGA ZOTE, CHEZEA WATOTO W JANGWANI
 KWANZA AKAMPIGA NA SWAGA ZA KOFIA
 KISHA AKAMKABIDHI SET YA MAKOCHI, HAPANA CHEZEYA SOMO UKO JUU
 AKAONGEA KIDUCHU...
ODO HALIMA AKITOA ZAWADI ZAKE
FLAT SCREEN
 SOMO AKIFUTWA JASHO
 MARIAM MNTAMBO ALIMFUTA JASHO ZAKIA AKISINDIKIZWA NA NDUGU ZAKE
 REHEMA MNTAMBO AKIMFUTA JASHO ZAKIA
 AISHA AKIMKOSHA ZAKIA
 HALIMA KAMUSI AKIMKOSHA ZAKIA
 SAADA AKIMFUTA JASHO SHOSTI WAKE WA UKWEE'E
 MARIAM K AKIMKOSHA ZAKIA
 HASINA WAGE AKIMKOSHA ZAKIA
 SAMEERA, BAHI NA DOLLA WAKIMKOSHA ZAKIA
 LATIFA NAYE AKIMKOSHA ZAKIA
 MERY NA SHARIFFA WAKIMKOSHA ZAKIA
 SHARIFFA KAVU AKIFANYA VITU VYAKE KWA ZAKIA
 BAADA YA WOTE KUMKOSHA MARIAM MNTAMBO AKAMALIZIA
TANT AKIMKOSHA ZAKIA
 SALMA ALIMTUNZA KWANZA DISH DASH, KISH AKAMFUTA JASHO
 MARIAM BEST AKIMKOSHA ZAKIA
FRIENDS OF JANGWANI WAKIMKOSHA ZAKIA...!!! MWAGA PESA NYINGI HATARI...
TABU MABOBISHI MAMA YA YANGA MOJA, AKIKOSHWA
TANT BOY AKIMKOSHA TABU
RAFIKI TOKA MOZAMBIQUE, WAKIMKOSHA KWA ODO HALIMA KWA MADOLLAR 
FRIENDS OF JANGWANI WAKIPELEKA SUPU KWA ODO HALIMA, WAKIONGOZWA NA DADA YAO TABU MABOBISHI
 SUPU.... YA ODO HALIMA
 SAADA, ZAKIA & ODO HALIMA WAKIMTUNZA TABU
CHAKULA
NYUSO
FRIENDS OF JANGWANI
 PACHANGA & FRIEND
HALIMA KAMUSI & SALMA MNTAMBO
BAHI & AMNE
 SALMA MNTAMBO 
 REHEMA MNTAMBO & FRIEND
MARIAM BEST & TATU
MAMA MZAZI WA JUMA
TATU LUMELEZI & FRIEND
MARIAM K
SAMEERA & DOLLA
 ASHURA & FRIEND
MARY,  SHARIFFA OSMAN & SHARIFFA KAVU
SALMA & FRIEND
LAFIFA & SALMA
SELFIE....
MC JAMILA & TABU
AISHA MASSANGA & FRIEND
FIRENDS OF JANGWANI GROUP
RED CARPET
 
NGUO DESIGN BY JOHA SIMBA CALL 0715 612 954
 
SWAGGA
Post a Comment

1 Comments

  1. Mashallah dada umeweza shughuli nzuri na zawad za ukweli

    ReplyDelete