SHARRIFFA KAVU BIRTHDAY DINNER @ SEACLIFF HOTEL

HAYA NI MAMBO YA MWARI KHADIJA KWA SOMO YAKE SHARIFFA, WATU WAZAMANI WANASEMA UKIMPA MWANA SOMO BASI NI UDUGU, USOMO SIO KULIPANA KAMA K ILIVYO SASA KWA WENGI, NA LEO NIMEYAONA KWA SALMA MNTAMBO ALIMPOMPA SHARIFFA KAVU MWANAYE KHADIJA AWE SOMO YAKE, KWA BAHATI NZURI, WALITAKANA UDUGU NA SIO KULIPANA, MKILIPANA BASI UDUGU UNAKWISHA, WANASEMA HESHIMA KA SOMO EEH!!, KHADIJA NI MWARI MWARIKWA....KAMUANDALIA SOMO YAKE DINNER YA UKWELI HAPO SEACLIFF HOTEL KARAMBEZI RESTAURANT, WAPAMBE KUNYWA UNACHOTAKA, KISHA AKAMGARISHA NA MADINI...!!!

 BIRTHDAY SOMO
 KHADIJA NA SOMO YAKE MAPENZI TELE
 KHADIJA NA MUME WAKE
 SAMEERA, MARIAM K, DORA
 HALIMA, MARIAM & FRIEND
 SALMA MNTAMBO NA BIGO...!!!
FATUMA KAVU
 ODO HALIMA &  REHEMA
 ZAKIA & BAHI KUBA
  HASINA & HUBBY (MAHABA MAHABANI)
 ABUU & AMNE
 SALHA & HUBBY
 SISTERZ
 JOHA SIMBA & MIRIAM JOGGY
 ZUHURA, DOLLA & FRIEND
 MARIAM, JOHA & MIRIAM
 WANA KIKUNDI, SHARIFFA, JAMILA, JAMILA
 
 AZIZ & MKEWE...
BAHI & JACK SELFIE....
 DINNER TIME
 
INJINI YA JIJI SALMA MNTAMBO
SAMEERA WILLIAM, NI NDUGU NA SERENA???
YES!!! NDIO MAANA NAKUPENDA
 ASHA BARAKA
ZAKIA & SAAD
 
SURPRISE BIRTHDAY CAKE
 BAADA YA DIINER CAKE IKALETWA SI UNAJUA ZILE "HAPPY BIRTHDAY SONG WITH BIG VOICE"
 SHARIFFA ALISHTUKA SANA
 MARA KILIO.....

 CHEZEA MWARI WEYE, HESHIMA KWA SOMO SHURTI KWA PICHA YA SOMO!!!
 WAKAANZA KULISHANA MWARI NA SOMO
 SAADA AKINASA MATUKIO
 ODO HALIMA AKILISHWA KWA NIABA YA SALMA MNTAMBO
 SISTERS FOREVER
 MARIAM MNTAMBO
  MIRIAM JOGGY
JOHA SIMBA AKIMLISHA SHARIFFA
 KHADIJA AKATOA ZAWADI YAKE KWA SOMO...!!!
 MWARI ANASEMA BADO LEO KWA SOMO YANGU, NAKUMBUKA MANZURI YOTE ULIYONIFANYIA
 KISHA AKATOA HERENI ZA DHAHABU
 SHARIFFA KILIO...!!!
 KHADIJA NIMEPENDA SANA MUONESHE MTU VILE UNAVYOMTHAMINI, SIO AKIFA NDIO UANZE KUMSIFIA... NI RAHA SANA YEYE AKISIKIA AU KUONA YALE ULIYOTAYARISHIA
 RED CARPET

Post a Comment

9 Comments

 1. Jamani mbona hamjanialika

  ReplyDelete
 2. huyo Aziz na mkewe ndo wamenichoshaaaaaa...mmmh

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hahahaa! Mdau, mbona mwenzio. Imebidi niwazoom maana ni Kama mama na mwana. Anyways age is just a number when it comes to LOVE. As long as they're happy.

   Delete
  2. hebu acheni kuyakuza nyie! huyo ni mtu na Bibi yake mzalia mama!
   yaani ndo hamjui kiswahili mtu bibi yake anaambiwa mkewe na babu yake mumewe kimasihara?!
   yaani kuona hamuoni basi hata hisia hamna mkahisii!

   Delete
  3. Mbona imesema AZIZ NA MKEWE na siyo bibi yake? Sasa mtu utahisije Kama siyo kwenda na flow? Kama ni bibi yake kheri Kama ni mkewe pia kheri. Mapenzi hayana umri, rangi,dini wala kabila. Cha muhimu ni kupendanda, kuelewana na kuheshimiana. Msije toa mapovu bure !!!!!

   Delete
 3. Huyo mwari ni kiboko mi sijawahi ona kwa kweli mtu anafanyiwa suprise kama hiyo na mwari wake toka hapo nilipoanza kuona watu wanapeana wari. Mashughuli umeongea point ivo ndo inavyotakiwa. Hongera sana mwari wa Sharifa Khadija

  ReplyDelete
 4. Bonge ya Dinner. Mh! Hii noma sijawahi ona kweli watu na mapenzi yao. Sharifa hongera mwari wako anakupenda sana. Mana ni wachache wenye kuthamini utu

  ReplyDelete
 5. Wadau huyo Azizi na mkewe ni mtu na Bibi yake kwa ninavyojua mimi. Na si kama mkewe kweli.

  ReplyDelete
 6. Jamani mashughuli naomba uniulizie hiyo keki imenunuliwa wapi

  ReplyDelete