ZUBERI's BAG PARTY!!!!

GROOM                                 :: ZUBERI KHALID
EVENT                                  :: BAG PARTY
VENUE                                  :: MARATHA HALL
COLOR                                  :: YELLOW, ORANGE & BROWN
DÉCOR                                 :: MARATHA HALL
CATERER                            :: DORCAS 
NI BAG PARTY YAKE ZUBERI AKIINGIA UKUMBINI NA PAMBE YAKE WALIOVAA SARE ZA MASHARTI, HAPANA CHEZEYA MAMBO PENDEZA SANA, SARE IMENOGAJE...!!!WANAONIFOLLOW INSTAGRAM NA FACEBOOK MAMBO HAYA WANAONJA LIVE FOLLOW ME INSTAGRAM:: "MASHUGHULIBLOG"

ZUBERI AKIINGIA NA PAMBE YAKE
MAMA AKIINGIA
MC-CHENI
ALWAYZ ANAWAFURAHISHA WATU
DECOR...///
CHAMPAGNE
MAMA MZAZI AKIOONGEA
MAMA MZAZI AKIONGEA NA KIJANA WAKE
PROFESSIONAL TALKS
ZUBERI ALIPATA NASAHA TOKA KWA PROFESSIONAL 
MAMA AKIMTUNZA SADAKA KWA MANENO MANZITO
 CHRIS AKIONGEA NA ZUBERI, NA WENGINE PIA UFAIDIKA
CHRIS MAUKI-PHYSIOLOGY & COUNSELING FROM UDSM 
BURUDANI
ZAWADI
MAMA ALIANZA KUTOA ZAWADI
MAMA AKIENDA MPA KIJANA WAKE ZAWADI
ALIMPA MASAAFU, MSWALI & TASBHI
ISABELA MWEYEKITI WA KAMATI
ARAFA TAMBA AKIMTUNZA MAMA SHUGHULI
NYUSO
MAMA MZAZI WA ZUBERI
ISABELA - MWENYEKITI WA KAMATI
SOPHIA MKINDI & FRIEND
ISABELA NA MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI
MAYMUNA ABEBE & MAMA MZAZI WA ZUBERI

MWENYEKITI WA KAMATI ISABELA & ARAFA TAMBA
CHAKULA


Post a Comment

2 Comments

  1. Dogo umependeza sana I wish ningealikwa kwenye hiyo shughuli

    ReplyDelete
  2. Chezea Mwenyekiti wewe lazima mambo yaende vizuri pendeza sana bwana harusi and waalikwa Mwaaa!!!!!

    ReplyDelete