AQDI NAIMA & OTHUMAN!!

 
BI ARUSI NAIMA KAPENDEZA MASHALLAH!!! 

 
HAMIS MAKUKA (MPIGA PICHA MKONGWE) & BI ARUSI NAIMA
KUONA ZAIDI INGIA TULEVINZURIBLOG

Post a Comment

8 Comments

 1. Amepambiwa wapi? please naomba kujua

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa kweli tujuzwe mana hii makeup ni hatari.sijawahi kuona hapa bongo.

   Delete
 2. PLS NAOMBA NUMBER YA HAMISI MAKUKA MPIGA PICHA, pls Hel,

  ReplyDelete
 3. tunaomba kujua makeup wake ni nani plzzz

  ReplyDelete
 4. nimependa make up sanaa kama hautojal tunaomba mawasiliano au jina la mpambaj

  ReplyDelete
 5. umependeza saaana tena sana bi harusi. ila kidogo alikushauri uvae top ya pink ndani amekosea kidogo ungevaa ya silver ungekuwa mwake zaidi. bt all in all umependeza na make ups ya nguvu.

  ReplyDelete
 6. HIVI ULIYECOMENT MWISHO ETI UNAMSHAURI BI HARUSI AU HAYO NI MAPENZI YAKO WEWE? YEYE KAPENDA HIVYO NA KAPENDEZA WATU WENGINE BWANA WANAJIONA WANAJUA KUVAA KUMBE WASHAMBA, HALAFU HARUSI TAYARI UNAMSHAURI WARUDIE TENA AMA??

  ReplyDelete