BONGO 5 MEDIA NA TUZO ZA WATU!!!!

FAINALI za kuwapata washindi wa Tuzo za Watu 2014 zilifikia tamati juzi ambapo washiriki kutoka katika tasnia ya Filamu, Muziki na habari walitunukiwa tuzo zao.
Katika tuzo hizo zilizoandaliwa na kampuni ya Bongo 5 Media Group kila mshindi katika kila kipengele alizawadiwa Milioni moja pamoja na Tuzo iliyobuniwa hapa nchini. PICHA SHUKRAN HABARI5 BLOG


BURUDANI
FARAJA KOTA & MADAM RITA
FARAJA & MISSPOPULAR BLOGGER
FEZA & FRIENDS
KING MAJUTO
FEZA AKISALIMIANA NA LUCA
FRONT ROW
MARTIN KADINDA, NASREEN
JACKLYN WOLPER 
FEZA KESSY
MILARD AYO AKIPOKEA TUZO
 MARTIN KADINDA, LULU
LULU AKIPOKEA TUZO
RED CARPET
BABU TALE & FELLA

Post a Comment

0 Comments