JUDE OKOYE's & IFY UMEOKEKE TRADIONAL WEDDING!!!

YES, TRADITIONAL WEDDING KAKA NA YAO KINA P SQUARE, PICHA CHACHE TOKA KWA WADAU WA INSTA OFFICIAL PHOTOS TO COME MRADI NIKUJUZE MDAU....!!!

 

Post a Comment

4 Comments

 1. wamependeza sana

  ReplyDelete
 2. Wanigeria kwenye suala la harusi tu ni wameshindikana. Wanapendeza mnoooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. do u kno why wanapendeza? bcoz they really love their cultures and traditions. wearing za kwao na zitapaisha sana. ndo mana wanaharusi ya kimira wanafunga ndoa pia wanayakanisa. hivi vitu pamoja na mavazi yao ya kitamaduni zitaendelea kuwafanya wawe juu na juu zaidi. nakubali wako vzr mnoooooo..

   Delete