9 YEAR OLD SOUTH AFRICAN BOY MARRIES 62-YEAR-OLD WOMAN

 MIMI NAJIULIZA KWANI ILE SHERIA YA KUOLEWA SI CHINI YA MIAKA 18 NI YA KWETU TU, NA HILO KANISA LINAFUNGISHA NDOA KWELI, AU SINEMA?? UNAAMBIWA BWANA ARUSI ALIVAA TAXEDO KHAAA..!!! ZAMA NDANI MDAU UONE VIDEO WANABUSU....!!!

BI ARUSI HELLEN NI MAMA MWENYE WATOTO KATI YA MIAKA 28 & 38 , BI ARUSI ALISEMA FAMILIA YAKE INA FURAHA SANA, NA HATOJALI WASEMAYO WATU, BWANA ARUSI ANASEMA AMEFURAHI SANA KUMUOA HELLEN, LAKINI ATAENDELEA KWENDA SHULE
KUSOMA ZAID INGIA BELLANAIJA

Post a Comment

7 Comments

 1. Yani natamani nilie kama mama nikiona mtoto kama huyo anafanyiwa hivyo. Huko ni kumbaka mtoto,uongozi wa nchi ndiyo unaruhusu hayo kutendeka? sitaki kuamini.Na huyo mtoto ana wazazi kweli wanashuhudia hayo.Ooooh my GOD. Watu wanacheza na kufurahi,mimi nawaona hao watu waliohudhuria ni kama wote wanamatatizo ya akili. VERY SAD.

  ReplyDelete
 2. Muacheni mama apopotoe vifupa vyake!

  ReplyDelete
 3. Hii harusi nilisikia kwamba ni taratibu za kimila. Huyu mtoto ni mjukuuu wa huyo bibi ambaye alifiwa na muwe wake ambaye ni babu wa huyo mtoto. Kwa mila zao mjukuu mmoja huteuliwa ili kumtunza bibi kipindi ambacho babu yaani mume wa huyo mama alipofariki na huyo babu alimteua huyu mtoto. Kwa hiyo anavikwa mamlaka na kuwa kama mume wa huyo bibi mjane,lakisi sio kwamba wanakuwa wapenzi kiuhalisia la hasha. Lakini pamoja na mila huu ni ukatili kwa mtoto kwanza mapokeo kwa jamii,pili hatakuwa na uhuru wa kuwa na watoto wenzake kwa sababu laziima watakuwa wanamtania na kumcheka. Ila akija kukua bibi ataisoma namba lazima atapigwa chini atafute wa saizi yake. Sasa kwa vile ni mdogo anaona kama mchezo wa kuigiza.

  ReplyDelete
 4. samahani basi mliocomment hapo juu naona hamkuelewa lugha ya video hiyo mbona wamesema kuwa ni kama kiutamaduni tu, si ndoa mnayofikiri nyie, it was kupease the ancestors, huyo mtangazaji ameeleza yote, na wala hawakai nyumba moja na wala si ndo mnavyofikiria, nilitaka kushangaa

  ReplyDelete
 5. Hapo kweli anaona mchezo wa kuigiza haaa yani mtoto wamiaka 9 hata kubaree bado yani mimi naona hii si ya kweli nakama yakweli wanafanya tendo la ndoa hiimjitu mizma wote ni vichaa

  ReplyDelete
 6. Bora umetufafanulia mimi nilikuwa nalia kila nikiiona tena hii picha ya harusi ya hawa watu wawili

  ReplyDelete
 7. Hata hivyo zoezi kama hili linamfundisha nini huyu mtoto ambaye hajui maana ya ndoa wala mapenzi. Acheni mila potofu.

  ReplyDelete