RACHEL's KITCHEN PARTY!!!

NAME                         ::RACHEL MOYO
EVENT                       ::KITCHEN PARTY
CAKE                         :: DORKA
MAKEUP                   :: VERO SALOON-+255 713 244 970
DÉCOR                      :: DORKA
VENUE                       ::MAKUMBUSHO YA TAIFA HALL
COLOR                      ::ORANGE, PINK, GREEN & BROWN
MC                              ::NURAAT
YES NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO RACHEL, PENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE KWA KWENDA MBELE HAPANA CHEZEYA VERO NA KAMPANI YAKE WAKO JUUU!!! FOLLOW ME INSTAGRAM "MASHUGHULIBLOG" UPATE MAMBO KAMA HAYA LIVE UKIWA UKUMBINI.

 
   
RACHEL AKIINGIA NA MPAMBE WAKE
MC-NURAAT AKIONGOZA TARATIBU...!!!!
MWENYEKITI  WA KAMATI AKIKARIBISHA WAGENI
 DECOR...////
 ZAWADI
INTRO.....!!!!
CAKE
 WANAKAMATI WAKIPOKEA KEKI
CHAMPAGNE
RACHEL AKIPEWA NASAHA NA WAZAZI
 DADA TOKA DODOMA AKIONGEA NA RACHEL
MC NURAT AKIICHABUA BIBLIA
BURUDANI
RACHEL AKIPEWA ZAWADI
TULIANZA NA KAPU LA MAMA
 CONSO MAMA YA BANTU SALOOM, MAMA WA KIROHO WA RACHEL AKIENDA KUMPA ZAWADI NA PAMBE YAKE YA BANTU SALOON
 CONSO MAMA YAKE VERO WA UBATIZO AKIONGEA
 DADA ZAKE VERO WAKIENDA MPA ZAWADI YA BEDROOM SET
 RACHEL AKITUNZWA SANDUKU NA DADA ZAKE WA FAMILIA YA MAGANGA
 WIFI YAKE RACHEL AKIMTUNZA 
 MARAFIKI WA RACHEL WAKIMTUNZA 

KISHA WAKAMFUTA JASHO
 DADA ZAKE RACHEL FAMILIA YA MAGANGA WAKIMTUNZA MDOGO KWA KUWALETEA RAFIKI AMBAYE SASA NI NDUGU
MDOGO MTU NA YEYE AKIWATUNZA DADA ZAKE
 VERO AKIMFUTWA JASHO
 MARAFIKI WA VERO WAKIMFUTA JASHO
 VERO NA RACHEL WAKITUNZA NA WAHESHIWA WABUNGE
 
 MH. MBUNGE CATHERINE AKIMPA BI ARUSI MANENO KIDUCHU
  DADA YAKE MH. MBUNGE CATHERINE AKIONGEA, BAADA YA KUMKOSHA VERO
 MAMA HINDU MKWEWE VERO AKIENDA KUTUNZA
  VERO NA MAMA MKWE WAKE HINDU MFULA
 MAMA MAGANGA DADA YAKE RACHEL AKIKOSHWA 
 VERO AKIMTUNZA MDOGO WAKE RACHEL
 VERO NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA RACHEL KWA FUJOO
 WANAKAMATI WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI MAMA MAGANGA KUTOA ZAWADI 
WALIANZA KUMPA TV, DVD & SHOWCASE
 WAKAMKABIDHI FRIDGE MPYAA
 WAKAMKABIDHI KABATI LA VYOMBO
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI ZAWADI YA RACHEL
CHAKULA
NYUSO
SISTERZ
DORKA & LILLY
DADA NA WADOGO ZAKE
SISTERZ
LILLY, RACHEL & VERO
RACHEL & SISTER
DORKA, RACHEL & VERO
VERO & WAHESHIMWA WABUNGE SHOSTITOS!!! UKO JUUU
REHEMA , VERO & LULU
MH. MBUNGE CATHERINE MAGIGE
RACHEL & VERO
BAHATI & FRIEND
WAHESHIMIWA WABUNGE & FRIEND
REHEMA & RACHEL
MAMA NA WANA.....!!!
MUHESHIMIWA MBUNGE WA CHADEMA
HINDU MFULA NA MABINTI ZAKE
VERO DADA YAKE RACHEL
REHEMA & LULU
REHEMA, LILLY & DORKA
REHEMA & FRIEND
REHEMA, LULU, VERO & FRIENDS
LILLY, DORKA, REHEMA & FRIEND
RED CARPET


Post a Comment

7 Comments

 1. watu wamependeza sana kwa ujumla mh. catherine kapendeza sana na kitenge ni kizuri sana

  ReplyDelete
 2. shughuli ilikuwa pambe mpaka basi watu wote funika sanaaaa

  ReplyDelete
 3. Mmmh kwa kweli ilipendeza sn nimeikubali imetisha funika mbovu... but vero ulinoga mbaya...

  ReplyDelete
 4. wamependeza mno.Naomba kujua vero saloon aliyopambiwa bibi harusi inapatikana wapi na contacts zake.

  ReplyDelete
 5. jamani shughuli nzuri sana. Bi harusi maependeza sana poda ya ukweli kabisa sawa na rangi yake. na wageni nao wamependeza hamna mikorogo humu na mipoda ya ovyo. high classic watu. mashallah!

  ReplyDelete
 6. Mwali alipendeza na watu wote walitokelezea, lakini bi harusi mtarajiwa anaonekana mjamwepesi?

  ReplyDelete
 7. Mashughuli naomba contacts za aliyempamba bihausi

  ReplyDelete