TWAIBA CLASSIC CENTRE!!!

 NAWATAMBULISHA TWAIBA CLASSIC CENTRE NI WAUZAJI NA WAKODISHAJI WA NGUO ZA MAARUSI, ACCESSORIES, TWAIBA CLASSIC CENTRE WANAFANYA MAKEUP KWA MABIARUSI, WANABANA NYWELE PAMOJA NA KUFUNGA VITAMBAA VYA MABIARUSI WA KIISLAM WANAOFUNIKA KICHWA,  TWAIBA CLASSIC CENTRE WANA STYLE NYINGI TOFAUTI ZA MITINDO YA NYWELE, UKITAKA ZILE SWAGA ZA KIHALAT NI TWAIBA CLASSIC CENTER
WANAPATIKANA:: MKUNGUNI\LIVINGSTONE KARIAKOO
MAWASILAINO:: +255 653 373 737
FOLLOW INSTA PAGE:: TWAIBA_CLASSIC_CENTRE

MAKEUP & NYWELE STYLE MBALIMBALI
 
 
 
NGUO ZA MAARUSI
S
 Post a Comment

11 Comments

 1. Mmmh hadi raha jamani

  ReplyDelete
 2. Kinachonifurahisha kwa hawa TWAIBA CLASSIC ni kwamba hata uwe na sura kama nyani utapendeza tu big up sana kwenu kazi mnaijua hongereni sana sana!

  ReplyDelete
 3. jamani hawa watu kiboko kweli nimekubali

  ReplyDelete
 4. kweli mko vizuri sana kila kitu nikizuri kuanzia makeup hadi nguo ila Arusha mnatuonea jamaniiii njooni na huku pia

  ReplyDelete
 5. Arusha jamani hivyo vitu vya hivyo hakuna please jaribuni kuweka branch huku mtavuna hela sn.

  ReplyDelete
 6. Mko juu nimewapenda saana tu. Big up xana

  ReplyDelete
 7. Nimewapenda kweli kama harusi yanfu ndo inatokea leo kesho aina wa kuniremba zaid yeenuuu

  ReplyDelete
 8. kwa kweli nimevutiwa nayi mko vizuri ila nashauri mngekuwa mnaweka na bei hata mtu akiitaji ajue anajpangaje duu love uuuu

  ReplyDelete
 9. mukihitajika mombasa kenya twaiba mtapatikana?

  ReplyDelete