ANITA's KITCHEN PARTY!!!

Bride                     ::Anita Muhazi
Event                    ::Kitchen Party
Venue                   ::Danken House
Color                    ::Hot-Pink,Green,& Blue 
Makeup               ::Kabelicious Saloon
Decor                   ::Creative Option Tz
Dressed-by           ::J&M Virgo Boutique
Mc                       ::Kolumba
Yes its Anita’s kitchen party, she looked gorgeous and simple, leo nimekutana na watu wapya ukianzia décor pamoja na makeup ya Anita!! Shughuli ilinogaje swaga za wanakamati kimino green velvet, kiatu chekukundu pamoja na handbag red…!!! Hapana chezeya familia ya Muhazi mko juu…!!!

ANITA AKIINGIA UKUMBINI
Kamati
Mwenyekiti Boss Lady akiitambulisha kamati na kuwakaribisha wageni
Msanii Nyota Abdallah ndani ya nyumba kazi ya kamati
 MASSAGE SENT...!!! LAZIMA UTUNZWE NYOTA...!!!!
 
Nyota akiwaonyesha mie somo umjue tena somo kweli kweli
Watu na raha zao
Decor.....!!!
I love this...!!!
Anita akitambulisha familia
Sadaka akitiririka professional 
Mada y leo nimeipenda sana
Cake
Champagne
Nyuso


Hidaya Kazirahabi na mama mkwe wa Anita
Mama mzazi wa anita
Anita & mama mkwe
best friend forever
Rose, Getu, Shilla & Ummy
wake na mwari
Mashostito na Nyota
Florida dada yake Anita
Hapana chezeya wao..!!!!
Anna & Lilian,true friends
Grace dada yake bi arusi
Mishy, Getu & Shilla
Aunt ake Tona...!!!
Julie & Anita
Rhoda, bi arusi yule mwenye tabasamu sana
Lilian & Cheni
Chakula
Zawadi
 Anita akigawa zawadi za skafu 
Anita akigawa zawadi kwa dada zake walifanikisha shughuli yake
 Madada wakitamba na zawadi zao

  Mwenyekiti wa kamati Lilian akipokea zawadi
Zawadi ya wakwe
 Wanakamati wakipeleka zawadi
 Dada yake Anita akitunzwa
 Dada Florida akikoshwa...!!!
 Marafiki wakimkosha
 Watoto wa wakienda kumtunza mama Muhazi
Dada mkubwa akiwashukuru waalikwa
Red Carpet
ANITA & HER FRIEND FROM SOUTH AFRICA...
ANITA NA DADA YAKE GRACE
ANITA, MAMA & FLORIDA
SWAHA ILIKUWA GREEN & RED
MAMA NA WATOTO WAKE
ANITA & MAMA....!!!
ANITA NA DADA ZAKE
ANITA, FLORIDA & LILIAN

Post a Comment

0 Comments