ANITA's SENDOFF PARTY!!!

Bride           ::Anita Muhazi
Event           ::Send-off Party
Makeup       ::Kabelicious
Venue          ::Kiramuu Hall
Colour        ::Silver & White
Décor          ::Henjewele
Cake           ::Monica Makundi
MC              ::Kwayu

Caterer        ::Eden
 Ni send-off party ya Anita, binti mrembo aliyejua kupendeza kuanzia kitchen party na hata hii leo makeup & hairstyle mwake,nguo yake mashallah, Anita ni mpole apendaye kusmile, Décor iliyozua maswali kwa wadau imefanywa na mpambaji mkongwe, zama ndani
Tulianza na mila kwanza...!!! Bukoba....
 Baada ya kukubaliwa wakamleta mchumba kwa wazazi
Baada ya hapo Anita akaruhusiwa kutoa utambulisho..!!!

Decor...///Mapambo
 Champagne
Zuhura akigonga glass & Anita
 Ni Sheeeda!!!!
Florida akigonga glass na Anitha
Boss Lady Lilian akigonga glass na mdogo wake
MC Kwayu, akituongoza....!!!!
Anita akimtafuta mchumba wake, yeye hakuwa na longolongo alikwenda straight kwake 
 Anita akimvisha mchumba wake saa ya ukwee'e
Hapa DJ Baby anavyowapagaisha waalikwa, yuko juu vibaya sana...!!!
Hapana chezeya MC kolumba 
 Edene Cataring!!!
Florida dada yake Anita na wafanyakazi wenzake
  Ladies in white dress, wamevishwa na J&M Virgo Boutique
Mama & Kaka mkubwa
Asumta na familia yake
 
Florida, Lilian & Anna
Wifi zake Anita, Catherine, Consolata , Beatrice & Kay mama ya TRA
Lilian, Anna & Ade mama ya Tanesco
 
 My wifi & friend...!!!
Kaka mkubwa na mama yake Anita
Florida, dada yake Anita na wafanyakazi wenzake
Jack & Julie - JJ
Asumta na binti yake & mama Maembe
Lilian & Anna shostitos wa ukwee'e
meza ya wazazi
 

 

 
 
 
 
 
  Kaka yake Anita mkubwa aliongea kidigo na Anita
Wifi mkubwa Asumta akimkabidhi Anita zawadi yao
 Kaka na familia yake wakimkabidh Anita zawadi
 
 Dada mkubwa mama Maembe na mume wake wakimkabdhi Anita Zawadi
Grace dada yake Anita akimpa zawadi
 Wafanyakazi wenzake Anita toka UNDP wakipeleka zawadi

 
 Kamati ikienda toa zawadi....!!!!
 Anita akifurahia cheque yake ya 5M
 Wanakamati wakijipongeza baada ya kutoa 5m cheque kwa AnitaPost a Comment

9 Comments

 1. very clasic . Anita pendeza sana. gAun mwaah

  ReplyDelete
 2. Watu wasafiiiii hakuna mgongano wa make up

  ReplyDelete
 3. Nimefurahi sana kumuona kaka Stide na familia yake. Very classy family!

  ReplyDelete
 4. milima haikutani jamani...jamani Anitha tulisoma wote chuo cha utumishi wa Umma(UHAZILI) Tabora mwaka 1989 hongera sana mpz
  Frida.

  ReplyDelete
 5. Mfano wa kuigwaa imependeza sana.Hongera kwa Anita

  ReplyDelete
 6. Contacts za mpambaji tafadhali

  ReplyDelete