Emmy's Kitchen Party!!!!

Bride                     ::Emmy
Event                    ::Kitchen Party
Venue                   ::Mwenge Social Hall
Color                    ::Yellow, Green & Orange
Makeup               ::Maznat Bridal
Decor                   ::Mwenge Social Hall
Dressedby            ::Designer Zamda George
Mc                       ::Lucky - +255 754 551 400
Imependeza, inafuraisha huchoki kutazama picha ni Emmy, na full Naija swaga,rangi zake zimemfunua yellow & green, Hapana chezeya kamati iko juu ni kunywa tu….

 Mic Controller (MC) Lucky na sauti yake tulivu!!!
 Emmy akiingia
Attention yote kwa Emmy's, ukipendeza mambo ndio kama hivi.....!!!!!
Friend, Emmy & designer Zamda George, aliyedesign nguo ya bi arusi
Emmy akituongoza kwa sala na kujiombea mwenyewe!!!!
 Kisha akaiingia kwenye introduction
Decoration/Mapambo
Cake & Champagne!!!
 Emmy akionja keki kisha awalishe....!!!
Emmy & mama mdogo
Joyce & Pendo hapana chezeya hizi mtu...!!!
Zamda george
Diana, dada yake bi arusi & friend
Dogo langu la ukwee'e
Mwenyekiti na bi arusi wake
Gele ndio habari ya Mujini....!!!
Emmy alichaza kiasi chake...!!!
Zwadi ya wanakamati
Dada Diana akikabidhi Gas Cooker & vyombo vya jikoni
Wazazi hao...!!!
Wifis
Chezeya Wafanyakazi weye!!
Wana Ngarenaro Group wakimkosha Emmy
Dada Diana akitunzwa
Watoto wa A-Town, Ngarenaro Group wakifanya yao!!!
Wana kikundi wakicheza na yao!!!

Kamati ikifanya yake.......

Emmy akifutwa jasho....!!!
 


 


Post a Comment

3 Comments

  1. Mjini kweli sihami, ukilijua hili wenzio wanalijua lile, yaani very classic na watu wasio na majina mujini

    ReplyDelete
  2. thank u my dada you did it

    ReplyDelete
  3. Yaani ni warembo ila kama rangi ingekuwa moja ingependeza sana kama bi harusi alivyopendeza.

    ReplyDelete