HAPPY & EMMANUELI RECEPTION WEDDING!!!!

Bride                    ::Happy Silayo
Groom                  ::Emmanuel Laizer        
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Giraffee Ocean View Hotel
Color                    ::Yellow & Purple
Makeup                ::Maznat Bridal
Siku ya Happy & Emmanuel, leo wamekuwa kitu kimoja, ndoa yao ilifungwa katika kanisa la Azania Front na kufuatiwa na sherehe katika hotel ya Girafee 

Kanisani Azania Front
Wakisani vyeti vya ndoa
Decor...///Mapambo

Cake
Ndafu
akamtunuku shosti wake ua lake ili na yeye wacheze arusi
Champagne
Neema & Mama
Neema & Hubby
Edna dada yake Happy

Burudani
Chakula
Wazazi wakipeleka zawadi ya bible
Mama mkwe akiwapa zawadi
Mama Silayo akimpa hongera binti yake
Post a Comment

4 Comments

 1. Harusi ilipendeza sana. Mungu awajalie ndoe yenu iwe ya heri na baraka.

  ReplyDelete
 2. Yani imependeza vibaya mno hongereni sana Mungu aibariki ndoa yenu ameen

  ReplyDelete
 3. Imependeza kiukweli nawatakia maisha marefu na yenye amani katika ndoa yao

  ReplyDelete
 4. Harusi yenu Imependeza sana na maisha yenu ya mbeleni yapendeze hinyo hivyo Mungu aibariki ndoa yenu.

  ReplyDelete