HAPPY's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                          ::HAPPY A. SILAYO
EVENT                         ::KITCHEN PARTY
VENUE                         ::RIVER SIDE HALL
COLOR                         ::PURPE, RED, BLUE LIGHT & GOLD
MAKEUP                      ::MAAZNAT BRIDAL
CAKE                           ::
DÉCOR                        ::RIVER SIDE HALL
MC                                ::HELLEN
HAPPY's KITCHEN PARTY, PENDEZA SANA BINTI WA KICHAGA, PERFECT MAKEUP BY MAAZINAT BRIDAL, GOLD & PURPLE DRESS WAS BEAUTIFUL!!!, WAALIKWA WAITIKIA SARE KWA FUJO....!!!! FOLLOW "MASHUGHULIBLOG" INSTAGRAM PAGE

MC
MC HELLEN WAJINA WANGU NAKUKUBALI MIA KWA MIA, ALINIFURAHISHA SANA KWENYE ZAWADI, ALISEMA ZOEZI ZIMA LA ZAWADI NI DAKIKA 15 TU, NA ANAANDIKA VIKUNDI NA SIO JINA MOJA, ALIWAPANGA WAALIKWA KIKUNDI KIKITOA ZAWADI KINAFOUATA WAMESIMAMA KWENYE RED CARPET, HUWEZI AMINI NI KWELI DAKIKA 15 TUMEMALIZA, BIG UP WAJINA UKO SERIOUS NA KAZI...!!!
INTRO....!!!!
  HAPPY AKIINGIA UKUMBINI
 DECOR...//
ZAWADI
 CAKE
 CHAMPAGNE
HAPPY AKIFUNDWA...!!!!
 MAMA MCHUNGAJI TOKA LIVINGWATER CHURCH AKIMWAGA UPAKO
MAMA HUYO NI MHUBIRI, YEYE ANAONGELA NYAKATI JE UNAJUA UKO KWENYE NYAKATI GANI...!!!
 MTOTO KWA MAMA HAKUI
BURUDANI
NYUSO
HAPPY NA MAMA MCHUNGAJI
MAMA MZAA CHEMA
SISTERS PENDEZA
NEEMA WA UKWEE'E DADA YAKE HAPPY
MAMA SILAYO
ZAWADI
 MAMA SILAYO AKIPELEKA KAPU LA BINTI YAKE
NEEMA AKIMPOKEA MAMA KAPU
 MAMA AKIMKABIDHI HAPPY KAPU
 MAMA WADOGO WAKIMTUNZA BINTI YAO
 ESTER DADA MTU AKIKABIDHI WASHING MASHINE
 NEEMA ALINZA KUMPA SHOWCASE
 NEEMA AKIMKABIDHI MDG WAKE KABATI LA VYOMBO
NEEMA WA UKWEE'E UKO JUU SLIPER BY NAME
 BEST FRIEND FAMILY WAKIMTUNZA MWANACHAMA MWENZAO KABATI LA NGUO
 LIVINGWATER CHURCH WAKIMTUNZA HAPP
 WIFIS WAKIMTUNZA WIFI YAO
 NEEMA WA UKWEE'E AKIKOSHWA....!!!
 DADA WA BI ARUSI, AKIKOSHWA
 HAPPY ALIZNA KUMTUNZA MAMA YAKE
 HAPPY AKIMVISHA MAMA HERENI, HAPPY UKO JUU MADINI...!!!
 
 KISHA AKAMTUNZA WAX ZA UKWEE'E 6 PC 
 MAMA KIKOSHWA NA WANAKAMATI
DADA AKIKABIDHI DINNING TABLE
 KAMATI IKIKABIDHI SOFA SEET
 HAPPY AKIWASHUKURU MAMA NA DADA ZAKE...!!!
RED CARPET
 
 
 
Post a Comment

5 Comments

 1. pendeza sana nyie,

  ReplyDelete
 2. Rachel hosea umependeza mama aggy long tym cjakuona

  ReplyDelete
 3. WOW, This is wow!!!!!Yani umefunika wifi yangu.Every thing is peeeeerfect.LOVE IT.

  ReplyDelete
 4. Dada Happy ulipendeza sana mwaya, Mungu akujalie maisha mema na yenye furaha katika safari yako ya Ndoa

  ReplyDelete
 5. Umependeza sana my dear Happy. I missed.

  ReplyDelete