HAPPY's NIGHT!!!!

Bride                     ::Happy Silayo
Event                    ::Sendoff Party
Venue                   ::Mirado Hall
Color                    ::Gold, Hot-Pink,Green,Blue & Orange
Makeup                ::Maznat Bridal
Dressedby            ::Beautypoint
Mc                       ::Emmanuel
Happy’s night, she did it again dressed by Beautypoint? Lazima utokelezee, akiwa na furaha ndani ya usiku wake, kama jina lake, Happy kanogaje na nguo yake iliyomkaa sawasawa, Happy ampa mchumba wake zawadi ya ukwee’e, usiku wa Happy uliojitosheleza section zote.....!!!!

MC Emmanuel...!!!!
Happy akiingia Mirado hall
Happy akiingia ukumbini kwa kujiamini, chezeya kavishwa na BEAUTYPOINT!!!!
Sala, tukikemea mabaya yote!!!!
Cake!!!
 Happy ni binti mwenye upendo na heshima kabla ya kuwalisha keki wazazi aliwashukuru kwa kumlea vyema
 Mama kabla ya kumlisha binti yake alimshukuru kwa kumpa heshima
 Wazazi wakimlisha keki ya kwaheri binti yao
 Mama mzazi akipokea keki
 Wakwe wakipokea keki
Champagne!!!!!
Decor...///
Burudani
Nyuso's
Mama mzaa chema
Edna, dada yake Happy
 Salum and mchumba
Shariffa, wifi yake shostito & friend
Neema dada yake Happy & friend
Vijana wa kazi...!!!
Salum Manywele & KK photos
 Mama Silayo na dada yake
mchumba na mpambe
Happy akimsaka mchumba!!!!
 huyu hapa...!!! mpenzi wangu!!!!
 akamivisha saa ya ukwee'e
 Baada ya kumpata mchumba walichezaje na marafiki zake
Happy akimtambulisha mchumba...!!!!
Chakula
Zawadi!!!
 Mamam Silayo akikabidhi zawadi
 Mama akikabidhi zawadi ya bible
 Baba mkubwa akitoa zawadi
 Kaka na dada zake Happy wakipeleka zawadi
Wafanyakazi wenzake Happy wakipeleka zawadi
Mwenyekiti wa kamati akiwasilisha zawadi
RED CARPET
Neema's Dress Design by Evecolletion
Bye!!!Bye!!!


Post a Comment

1 Comments